Video: Vijana hebu oeni. Kuna mwenzenu huko Kaskazini amepiga punyeto hadi kufariki. Mnakwama wapi?

Kwa hiyo unataka kusema watu waache kupiga punyeto au?

Kupiga punyeto ni dalili ya UVIVU, ujinga, umasikini na kukosa maadili. Kijana ambaye hana sifa tajwa hapo, hawezi kuwa mmoja wao.
Namaanisha, Kijana ambaye yupo busy kutafuta maisha, hata kama hajaoa; hawezi kukimbilia kupiga punyeto.
Angalizo: Pamoja na kuwa na madhara mengi ya kiafya; Punyeto ni moja kati ya matendo yanayo mchukuza sana Mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…