Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Mpambanaji ilikuwa lazima afe! Mimi nasema afadhali kazima akiwa pekee yake. Angezimikia kifuani kwa mwanamke, huyo mwanamke angetiwa misukosuko sana na pia angeathirika kisaikolojia kwa muda mrefu sana!Vijana,
Endeleeni kuwasikiliza Kataa Ndoa
Kuna mwenzenu sijui ni Moshi huko amepiga punyeto hadi kufariki.
Huyu angekuwa kwenye ndoa asingekutana na dhoruba hii.
Mtu aliekuwa nae akifanya hivyo hadi kufa ndio atupe hii tarrifa, la sivyo ni umbea tu usio na maana. Walimshuhudia?Vijana, Endeleeni kuwasikiliza Kataa Ndoa
Kuna mwenzenu sijui ni Moshi huko amepiga punyeto hadi kufariki.
Wewe hujui kitu nyama za tuKupiga punyeto ni kukosa kazi na uvivu.
Nani ameshuhudia akipiga hiyo nyepo mpaka kufa? RUBBISH 🗑Vijana,
Endeleeni kuwasikiliza Kataa Ndoa
Kuna mwenzenu sijui ni Moshi huko amepiga punyeto hadi kufariki.
Huyu angekuwa kwenye ndoa asingekutana na dhoruba hii.
Na hawana mpango wa kurudisha kadi chamaniSuluhisho la nyeto sio ndoa maana Kuna watu wapo kwenye ndoa ila kadi za chama Bado wanazo na wanazitumia
Ndiyo. Ni tukio la siku nyingi, ila limefufuliwa tu.Hili tukio mbona la zamani na lileletwa humu miaka miwili bila shaka imepita
Zikiisha muda wake wanazilipia tenaNa hawana mpango wa kurudisha kadi chamani
Bado wanajichukulia sheria mkononi au sio😀Suluhisho la nyeto sio ndoa maana Kuna watu wapo kwenye ndoa ila kadi za chama Bado wanazo na wanazitumia