Bakheresa alianza kama fundi wa kushona vviatu vibovuMimi mwenyewe nimeanza Biashara ya Mgahawa na robo ya mchele
Hahahahaha... nilitaka niseme kitu ...Wakuu,
Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.
Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.
Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.
Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71
Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious
tafuta hela wewe acha makelele...π€£mpaka vidonda vya tumbo! ujinga huo,! unahangaikia hela unakuja kupata maradhi yanaitumia hiyo ela
Hahahaha,mleta mada alione hili asiwaseme tu vijana wa sad ..Bakheresa alianza kama fundi wa kushona vviatu vibovu
Dah nimepiga calculation hapa mpaka nimejidharau sana yani umri nilionao ukiniongezea miaka 40 kwa 5m kwa mwezi siwezi fikisha hata 2.5 Billion!! Aiseee kazi ipoUnajua ukiweka milion 5 kila mwezi mpaka unakufa hutafikisha bilion 5π
π€ π€ π€ π€ sahii unamiliki hotel nyota 5 siyo πππMimi mwenyewe nimeanza Biashara ya Mgahawa na robo ya mchele