Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unahangaika kufikisha hizo bilion ili iweje?Dah nimepiga calculation hapa mpaka nimejidharau sana yani umri nilionao ukiniongezea miaka 40 kwa 5m kwa mwezi siwezi fikisha hata 2.5 Billion!! Aiseee kazi ipo
Hahhaah oya sio rahisi mzee huyo atuambie vizuriHiyo laki 5 naipataje na mimi nianze biashara?
Sasa unahangaika kufikisha hizo bilion ili iweje?
Maisha halisi nikuweza kumudu mahitaji mhimu kama chakula, malazi, matibabu, elimu bila kusahau starehe .
UKIWEZA KUMUDU HAYO HUNA TOFAUTI NA Elon musk.
Kwani Unajua Utaishi Mpaka Lini?Unajua ukiweka milion 5 kila mwezi mpaka unakufa hutafikisha bilion 5😂
Taja hizo access, pia taja na tija ya hizo access.Sio kweli.
Hela inakupa access ya vitu ambavyo huwezi kupata kwa mazingira ya kawaida.
Taja hizo access, pia taja na tija ya hizo access.
Mihangaiko yote lengo ni kupata chakula kizuri, malazi mazuri, afya nzuri, elimu nzuri na starehe. KAMA KUNA KAZI NYINGINE YA PESA NIAMBIE.
KINGINE
Kama unamudu kutafuna kuku, kama unamakazi mazuri, kama una afya njema, watoto wanasoma pazuri, UNAUTOFAUTI GANI NA ELON MUSK?