sema nae mfupin xn km lulu.Mwanadada anayekuja kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii adai hawezi kutokea kwenye video yeyote ya Msanii wa Bongo yaani (video vixen) bila Shilingi Million 5 .Hii amekuwa akisikika kwenye baadhi ya interview za media mbalimbali.
Kutokana na muonekano wake unadhani anastahili hilo dau...!!!
PoshyQueenView attachment 789791View attachment 789792
La huyo halijabebwa vizuri bana,yani libekaa ovyo,sijalikubaliMkuu kwaiyo skuiz hamvutiwi na chura [emoji16][emoji16]
We ni msanii wa nini?Kama milioni za Zimbabwe ningetoa moja na nusu.
Unamshirikisha kwenye wimbo gani?Kwa tege hilo ale laki saba