Video vixen, PoshyQueen adai hawezi kutokea kwenye video ya msanii wa Bongo bila milioni 5

Video vixen, PoshyQueen adai hawezi kutokea kwenye video ya msanii wa Bongo bila milioni 5

Hivi hapo dar vijisichana vikishakua na matako makubwa tu.. Basi tayari ni super star?

Huyu mtoto nimemfahamu kabla hajaanza haya matangazo, I know how classy she is.

Ila nina wasiwasi kama atamaintain, nimemwona recently anajitangaza sana sana.

She is most likely going the path of other girls calling themselves socialites.
 
Hao hawana kitu....wakiwa kwenye media wanajifanya ni expensive lakini kitaa wadau wanakula kwa kumhonga chips yai...

Zama hizi nani akupe mil 1
Mkuu umenikumbusha kuna mmoja nilimpiga show kwa 30,000 ,baada ya kunywa Heineken zangu za Kutosha pamoja na chupa ndogo ya Grants ,nilipga show mpka asubuhi .
 
Mkuu umenikumbusha kuna mmoja nilimpiga show kwa 30,000 ,baada ya kunywa Heineken zangu za Kutosha pamoja na chupa ndogo ya Grants ,nilipga show mpka asubuhi .
Hahaaaaa lakini ukimkuta insta huyo huyo atakwambia bila mahari ya mil 50 humuoi..
Kweli vituko bongo havitaisha
 
Mwanadada anayekuja kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii adai hawezi kutokea kwenye video yeyote ya Msanii wa Bongo yaani (video vixen) bila Shilingi Million 5 .Hii amekuwa akisikika kwenye baadhi ya interview za media mbalimbali.

Kutokana na muonekano wake unadhani anastahili hilo dau...!!!

View attachment 789791
View attachment 789809

Anaitwa Jacqueline obed
Kuko wapi kutamba kwako ewe kiumbe dhaifu? Masogange yuko wapi leo?
 
Enzi hizo bado mdogo nakua nilikuwa nafiri kadiri mtu anavyokuwa mfupi ndivyo hivyo hivyo na maumbile yake yanakuwa mafupi
 
Mwanadada anayekuja kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii adai hawezi kutokea kwenye video yeyote ya Msanii wa Bongo yaani (video vixen) bila Shilingi Million 5 .Hii amekuwa akisikika kwenye baadhi ya interview za media mbalimbali.

Kutokana na muonekano wake unadhani anastahili hilo dau...!!!

View attachment 789791
View attachment 789809

Anaitwa Jacqueline obed
MBONA NYWELE BANDIA? YAMKINI ANA KIPARA
 
Bahati mbaya sisi sio wasanii
Au mm sio msanii
Waulize Wasafi au Ali Kiba na wengineo

Huyu hana sifa hata ya kuwa video kwini anafosi kutafta kiki

Anajiona makalio ya dukani
 
Mbona hiyo picha ni kama ya your dad is coming, hiyo sanamu.
 
Back
Top Bottom