Kodi ya Magu utaiweza?Tufanye basi biashara mkuu,
Hakuna mali za mitumba huko km Friji, Tv, electronics devices, nguo, viatu, mapazia, shuka nk.
Tunafungua duka kubwa la bidhaa mojawapo ya hizo.
Elimu yake ikoje?Huyu mtoto nimemfahamu kabla hajaanza haya matangazo, I know how classy she is.
Ila nina wasiwasi kama atamaintain, nimemwona recently anajitangaza sana sana.
She is most likely going the path of other girls calling themselves socialites.
Mangi ktk ubora wakoTufanye basi biashara mkuu,
Hakuna mali za mitumba huko km Friji, Tv, electronics devices, nguo, viatu, mapazia, shuka nk.
Tunafungua duka kubwa la bidhaa mojawapo ya hizo.
Elimu yake ikoje?
Vitu gani yuko informed navyo mkuu...kama vile unamfahamu kiundani. Vip SA anafanya biashara gani kule ? Nimeona hiyo picha yakeAnafanya Insurance Degree, yuko mwaka wa tatu (kuna mdau kaandika hii kitu).
Dogo yuko evening class, I am not sure how good she is in class, but she is so informed with some issues.
kwa wachovu labda kuna wabongo wanaweza kununua hata hiyo kampuni unayofanyia kaziAcha tujikite viwanja vikubwa tu.
Mtu unaweza kusema urudi Bongo, hata ukifanya biashara bei ya kazi yako unaweza kutaja ukaonekana unakufuru. Ukiamua kufanya kazi, mshahara unaotakaunaweza kuripotiwa kwa Magufuli.
Acha tujikite viwanja vikubwa tu.
😀😀Anajitahidi siyo mbayaa!
Kwa sisi ambao siyo wasanii tutamhitaji kwa matumizi mengine!
Kwenye mitumba kodi si kubwa sana mkuu.Kodi ya Magu utaiweza?
That is neither here, nor there.kwa wachovu labda kuna wabongo wanaweza kununua hata hiyo kampuni unayofanyia kazi
Jana nilikuwa naangalia FB page moja ya rafiki yangu mmoja Mtanzania, anaishi US. Kapiga picha nguo nyingi sana, anajiuliza anataka kuzipunguza hajui azipeleke wapi.Kwenye mitumba kodi si kubwa sana mkuu.
Kwasababu thaman ya hizo bidhaa ni ndogo sana.
Kama upo tayari tuongee PM mkuu
ila shaka we ni wa nyumbani kabisa (kolomije) habhari yhakho bhanahhuyo hajui thamani yake... hapo natoa zaidi million 20, kwa video moja...
Mil kwa lipi hasa?! Au hivyo vitako vinakuzuzua mkuu.Huna 1M plus humpati huyu...
Hahahahaha mkuu atakua ameokota huko ChinaHuyu demu alikuwa wa kawaida sana sijui iyo mizigo kaiokota wapi
Ushamuona live Tuerny au picha za insta tu zinakudatisha??Yupo fresh ila anakaa kwa yule anaejiita tuerny...ni namba ingine