Video vixen wa Kayumba atanichukulisha mkopo

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Jamani hivi huyu video queen wa ka Kayumba kwenye wimbo "Mazoea" huwa najiuliza huu urembo wake au nini? Maana yaani ameingia kwenye vigezo vyote vya mwanamke mrembo wa kuoa. She is the most beautiful living lady ever seen.

Mwenye mawasilano yake ani PM. Nikipata namba yake au mawasiliano yake mkopo unanihusu, if sbe will need some huge amount of money.

Pia nimejizuia kuiangalia ile video kwani nahisi inaniletea psychological trauma, japo wimbo ni mzuri. Hii dunia kuna watu wameumbwa bwana,sitajali kama ule weupe ni wa mkorogo, shape tu nikiburudisho tosha, kumuangalia tu ni burudisho la nafsi.

Maneno mengi .... Mawasilano tafadhali!
 
Nitanieni muwezavyo ,mwisho wa siku Namba nipatiwe. Picha please go to u-tube
 
Subiri tu watakuja watu wa industry na kukupa mawasiliano. Nasisitiza tena wahi mkopo chifu
 
Kama mpaka sasa hivi hakuna member aliepost picha yake basi jua ni hopeless
 
ilibidi nikamchungulie asee mtamu balaa...ila ukimuoa ujiandae kaka maana mwenzio akitzama hii vdeo anajiona ndio maisha yake
 
Yaani bila picha kabisa, unatoa uzi?
 
Mkuu bila kuweka picha,siwezi kwenda huko you tube!
 
ilibidi nikamchungulie asee mtamu balaa...ila ukimuoa ujiandae kaka maana mwenzio akitzama hii vdeo anajiona ndio maisha yake
Kumbe umemuona she is young ,figured and adorable . ukisikia mtu kuwa mshirikina ndo huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…