Hilo neno masha Allah ,nmelicopy kwa wino wa dhahabu.Kiukweli maashaAllah ni mzuri ila wengi wao si wife material
Kwann isiwe google ila you tube? High tricky of grabbing view members,Mimi umenikosa,better you could be open and polite[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Picha imenishinda ku- upload ,tafadhal fetch her from u tube ,just for picha not otherwise
Post wako tulinganisheWanaume wa mkoani bhana,..sa yule ndo demu wa kukuchukulisha mkopo bank,..uswazi tukonao ka wote,..
Sasa YouTube inamilikiwa na nani?Kwann isiwe google ila you tube? High tricky of grabbing view members,Mimi umenikosa,better you could be open and polite[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha yaan hilo jina linanichefua balaa,Jamii forum naamini hakuna mtoto mzuri kama yule. Hawezi kuwa humu ambapo tunaitana Mkuu. She needs special and adorable names
Hata mie hunishangaza,usisahau mawasiliano ya Hugo binti.Hahahaha yaan hilo jina linanichefua balaa,
'Mkuu'
What the hell!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha yaan hilo jina linanichefua balaa,
'Mkuu'
What the hell!?
[emoji35] [emoji35][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole 'Mkuu'
haha hahaaa awahi kuchukua mkopoSubiri tu watakuja watu wa industry na kukupa mawasiliano. Nasisitiza tena wahi mkopo chifu
Du! Forty millions, si hela ya kiwanda hiyo? Mwambie asnifanyienimemuona mitaa flani hivi akipiga story na wenzie nilibahatika kusikia akisema hapendi mwanaume mwenye gari ya chini ya milion 40,nikashindwa kabisa kukuchukulia namba
Ndio hvyo kijana,hapo hata ukiwa na kafortuner atakufikiria,tutafute pesa kijanaDu! Forty millions, si hela ya kiwanda hiyo? Mwambie asnifanyie
Mkuu huyoo mtoto niliwahi kuwaambia mabest zangu kuwa yupo mwake vibaya,nazani hata hawa mademu wanaosaka ndoa wangekuwa kama huyoo aaaahhhh mambo yangekuwa mazuri sanaJamani hivi huyu video queen wa ka Kayumba kwenye wimbo "Mazoea" huwa najiuliza huu urembo wake au nini? Maana yaani ameingia kwenye vigezo vyote vya mwanamke mrembo wa kuoa. She is the most beautiful living lady ever seen.
Mwenye mawasilano yake ani PM. Nikipata namba yake au mawasiliano yake mkopo unanihusu, if sbe will need some huge amount of money.
Pia nimejizuia kuiangalia ile video kwani nahisi inaniletea psychological trauma, japo wimbo ni mzuri. Hii dunia kuna watu wameumbwa bwana,sitajali kama ule weupe ni wa mkorogo, shape tu nikiburudisho tosha, kumuangalia tu ni burudisho la nafsi.
Maneno mengi .... Mawasilano tafadhali!