Video vixen wa Kayumba atanichukulisha mkopo

Video vixen wa Kayumba atanichukulisha mkopo

Wanaume wa mkoani bhana,..sa yule ndo demu wa kukuchukulisha mkopo bank,..uswazi tukonao ka wote,..
 
Picha imenishinda ku- upload ,tafadhal fetch her from u tube ,just for picha not otherwise
Kwann isiwe google ila you tube? High tricky of grabbing view members,Mimi umenikosa,better you could be open and polite[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwann isiwe google ila you tube? High tricky of grabbing view members,Mimi umenikosa,better you could be open and polite[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa YouTube inamilikiwa na nani?
 
Jamii forum naamini hakuna mtoto mzuri kama yule. Hawezi kuwa humu ambapo tunaitana Mkuu. She needs special and adorable names
Hahahaha yaan hilo jina linanichefua balaa,

'Mkuu'
What the hell!?
 
nimemuona mitaa flani hivi akipiga story na wenzie nilibahatika kusikia akisema hapendi mwanaume mwenye gari ya chini ya milion 40,nikashindwa kabisa kukuchukulia namba
 
nimemuona mitaa flani hivi akipiga story na wenzie nilibahatika kusikia akisema hapendi mwanaume mwenye gari ya chini ya milion 40,nikashindwa kabisa kukuchukulia namba
Du! Forty millions, si hela ya kiwanda hiyo? Mwambie asnifanyie
 
Tatizo la hawa video queen wanakuwaga macho juu sana, hawanaga uchoyo kwa wenye pesa.
 
Jamani hivi huyu video queen wa ka Kayumba kwenye wimbo "Mazoea" huwa najiuliza huu urembo wake au nini? Maana yaani ameingia kwenye vigezo vyote vya mwanamke mrembo wa kuoa. She is the most beautiful living lady ever seen.

Mwenye mawasilano yake ani PM. Nikipata namba yake au mawasiliano yake mkopo unanihusu, if sbe will need some huge amount of money.

Pia nimejizuia kuiangalia ile video kwani nahisi inaniletea psychological trauma, japo wimbo ni mzuri. Hii dunia kuna watu wameumbwa bwana,sitajali kama ule weupe ni wa mkorogo, shape tu nikiburudisho tosha, kumuangalia tu ni burudisho la nafsi.

Maneno mengi .... Mawasilano tafadhali!
Mkuu huyoo mtoto niliwahi kuwaambia mabest zangu kuwa yupo mwake vibaya,nazani hata hawa mademu wanaosaka ndoa wangekuwa kama huyoo aaaahhhh mambo yangekuwa mazuri sana
 
Back
Top Bottom