Video vixen wa Kayumba atanichukulisha mkopo

Mkuu huyoo mtoto niliwahi kuwaambia mabest zangu kuwa yupo mwake vibaya,nazani hata hawa mademu wanaosaka ndoa wangekuwa kama huyoo aaaahhhh mambo yangekuwa mazuri sana
Mimi mpaka naandika post hii ,kanivuruga mno ,nmemtafuta kasoro sana lakn Moyo wangu umekiri kuwa is the most beautiful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…