Hahahaha yaan hilo jina linanichefua balaa,
'Mkuu'
What the hell!?
Kwanini mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha yaan hilo jina linanichefua balaa,
'Mkuu'
What the hell!?
Kwahyo mkuu huyo shori hawezi kuitwa mkuu?Jamii forum naamini hakuna mtoto mzuri kama yule. Hawezi kuwa humu ambapo tunaitana Mkuu. She needs special and adorable names
Mkuu, uko poa lakn?Hahahaha yaan hilo jina linanichefua balaa,
'Mkuu'
What the hell!?
Kwanini mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, uko poa lakn?
Ila kiukweli yule dem ,ni mzuri mnoNdio hvyo kijana,hapo hata ukiwa na kafortuner atakufikiria,tutafute pesa kijana
Mimi mpaka naandika post hii ,kanivuruga mno ,nmemtafuta kasoro sana lakn Moyo wangu umekiri kuwa is the most beautifulMkuu huyoo mtoto niliwahi kuwaambia mabest zangu kuwa yupo mwake vibaya,nazani hata hawa mademu wanaosaka ndoa wangekuwa kama huyoo aaaahhhh mambo yangekuwa mazuri sana
Please don't let that be. .....Already married
Bila shaka sample yako ni gigy money na amber lulu?Tatizo la hawa video queen wanakuwaga macho juu sana, hawanaga uchoyo kwa wenye pesa.
Mambo ya ukuu ,yapo humu tu.Kwahyo mkuu huyo shori hawezi kuitwa mkuu?
Asante uma umeshuhudiaPia ukumbuke na nafas ya makeup mkuu
Pole sanaHapana
Sasa pole ya nini.Pole sana