Video vixen wa Kayumba atanichukulisha mkopo

Video vixen wa Kayumba atanichukulisha mkopo

Jamani hivi huyu video queen wa ka Kayumba ,kwenye wimbo " mazoea ", huwa najiuliza huu urembo wake au mini?Maana yaani ameingia kwenye vigezo vyote vya mwanamke mrembo wa kuoa. She is the most beautiful living lady ,ever seen. Mwenye mawasilano yake ani PM. Nikipata Namba yake au mawasiliano yake mkopo unanihusu, if that will need some huge amount of money.
Pia nmejizuia kuiangalia ile video kwan nahis inaniletea psychological trauma, Japo wimbo ni mzuri. Hii dunia kuna watu wameumbwa bwana,sitajali kama ule weupe ni wa mkorogo, shape tu nikiburudisho tosha,kumuangalia tu ni burudisho la nafsi. Maneno mengi .... Mawasilano tafadhali!
Kweli wewe ni dreamboy, id na personality yako are highly matching
 
Back
Top Bottom