Video vixen wa "Tuachane"ya LAVALAVA,kaipendezesha sana video!!!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Hawa vijana wa Wasafi(WCB)huwa hawakosei kabisa kwenye kuchagua warembo wa kupendezesha video zao,mida hii nimepata nafasi ya kukiona kichupa cha Lava lava "tuachane"kichupa kiko bomba na huyu binti waliemchagua kukipendezesha kichupa kafanya vizuri sana.Ilinibidi nizame IG kusearch page ya huyu binti ili kusafisha macho kiukweli binti yuko bomba,hongereni wasafi kwa kuchagua warembo wazuri kupendezesha video zenu kwa wale wapenda mikia endeleeni kungoja ageuke hapa akiwa kwenye kuchapa maji hapa akiwa hajatumia minywele ya kizungu kichwani video ya "TUACHANE"[emoji116]
-Ndumilakuwili-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…