PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Hawa vijana wa Wasafi(WCB)huwa hawakosei kabisa kwenye kuchagua warembo wa kupendezesha video zao,mida hii nimepata nafasi ya kukiona kichupa cha Lava lava "tuachane"kichupa kiko bomba na huyu binti waliemchagua kukipendezesha kichupa kafanya vizuri sana.Ilinibidi nizame IG kusearch page ya huyu binti ili kusafisha macho kiukweli binti yuko bomba,hongereni wasafi kwa kuchagua warembo wazuri kupendezesha video zenu
kwa wale wapenda mikia endeleeni kungoja ageuke
hapa akiwa kwenye kuchapa maji
hapa akiwa hajatumia minywele ya kizungu kichwani
video ya "TUACHANE"[emoji116]
-Ndumilakuwili-
-Ndumilakuwili-