Video: Vuta Nikuvute ya Halima Mdee, Spika Tulia na Patrobas Katambi kuhusu Mkataba wa DP World na Serikali

Hili swala lipigwe stop kwanza kuandaliwe mdahalo tuelewe kwanza vilivyomo humo ndani yamkini serekali ina nia njema ila hatujawaelewa
 
Sasa kati ya Tulia na Halima nani msomi wa kukariri?

Huyo halima anaongea mambo ambayo anaulizwa yapo wapi kwenye mkataba anashindwa hata kuyaonesha ndo unamfananisha na Tulia?
Upinzani wa kukulupuka usio na facts..
 
Mwenye picha ya Mmiliki wa DP world aniwekee …maana kafanikiwa kupata Chawa wazito wazito

ila safari hii Steve Nyerere itakuwa karukwa mgao wa Muarabu

na imagine angekuwepo lembebez super Mtindizi angetunanga sana sie wa Uswekeni in America spirit
 
The advantage of incumbent party?
 
Sasa kati ya Tulia na Halima nani msomi wa kukariri?

Huyo halima anaongea mambo ambayo anaulizwa yapo wapi kwenye mkataba anashindwa hata kuyaonesha ndo unamfananisha na Tulia?
Spika anaulizia details ambazo haziwezi kuwemo katika Agreement. Ni kama vile Halima aseme kuwa DPW itashughulikia meli za makontena halafu aulizwe wapi katika mkataba zimetajwa meli za makontena. Agreement inasema kuwa katika awamu ya pili bandari zilizopo kwenye maziwa zitahusika. Halima anataja bandari zilizomo katika maziwa lakini wakili msomi Profesa anataka aonyeshwe Mwanza imetajwa wapi katika IGA? Hicho ndicho cha kusifia?

Amandla...
 
Tuendako vizazi vyetu vitakuja kutumia mabilioni ya fedha ktk mahakama Za kimataifa kupambana tutakaposhitakiwa Kwa kuvunja makubaliano haya..Wakati huo wengi wa wafanya maamuzi sasa hawatokuwepo..
 
Au unasubiri ukirudi ofisini jumatatu,ukaicheki...😁😁😁,natania mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…