Leo umetambua akina Halima mdee ni wapinzani. Huyo Tulia kabakia kuhoji vimaswali uchwara kisa Halima anaongea. Kwanza anaonesha ana upande na hataki mtu abishe. Hongera halima kwa leo Rudi nyumbani.Upinzani wa kukulupuka usio na facts..
Alichokifanya Spika ni interruption technic ambayo hata yeye akishtukizwa angepotea uhalisia upo hivi mkataba haupo specific upo open ended unaweza chukua kila kitu. Huu ni mkataba wa kihuni kuliko yote iliyokwisha fanywa na bunge hili. Mkataba unawalinda sana wageni na kutoa ardhi ya nchi kwa wageni, na kuingilia utendaji wa bandari na usalama wa TaifaSasa kati ya Tulia na Halima nani msomi wa kukariri?
Huyo halima anaongea mambo ambayo anaulizwa yapo wapi kwenye mkataba anashindwa hata kuyaonesha ndo unamfananisha na Tulia?