Video: Vyoo vya Saudi Arabia vina Camera ukijisaidia kuna watu wanakuangalia

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Hii imenishtua sana. Huyu Mtanzania aliyekuwa anajichukulia sheria Mkononi ametuaibisha sana. Alishindwa kuvumilia mpaka arudi kwao?

Nawaza lengo la kuweka camera vyooni ni nini?

Your browser is not able to display this video.
 
нαωα ωαιѕℓαмυ ωαиα мαмвσ уα αᴊαвυ ѕαиα,ѕαѕα ᴊιтυ ℓιиαριgαᴊє иуєтσ ¢нσσиι?
 
Aidha ni mnafikii huyu jamaa au anachekesha tu
Kuna watu wanapenda ujinga sana, jitu zima linaongea hayo
Saudia nimeishi tena zipo sheria kabisa katika sheria zao ni marufuku kuweka surveillance sehemu kama hizo hata mahospitali wanapomkagua mgonjwa na hata sehemu za kubadli nguo ni marufuku kabisa tena ukikamatwa unafungwa

Aje hapa anibishie
Yaani eti mustabate anapigiwa kelele kaongeza na kipaza sauti kabisa 😄 🤣 liongo hilo
 
ℍ𝕦𝕪𝕠 𝕟𝕚 𝕟𝕕𝕦𝕘𝕦 𝕜𝕒𝕥𝕚𝕜𝕒 𝕚𝕞𝕒𝕟𝕚
 
Mm nipo na ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…