Video: Vyoo vya Saudi Arabia vina Camera ukijisaidia kuna watu wanakuangalia

Video: Vyoo vya Saudi Arabia vina Camera ukijisaidia kuna watu wanakuangalia

Unaweka camera uangalie wanaume wenzako wanakojoa. Inafikirisha sana!!
 
Tena unaweza kuta camera zimewekwa kwenye vyoo ambavyo ni kwa ajili ya Waafrika tu kwamba Mwafrika akitaka kwenda chooni anaelekezwa kwenye vyoo hivyo kwa ustadi mkubwa bila wenyewe kugundua kama vyoo vyao ni tofauti na vya wengine ili wasizue malalamiko kwa sababu ngozi nyeupe wote kuanzia wazungu,waarabu,wahindi,wachina na jamii zao nyingine hawamuoni mwafrika hasa mweusi kama ni binadamu kamili lakini sisi wenyewe tumekazana kujipendekeza kwao! Utasikia mtu anataka sijui watu gani wabarikiwe! Mwingine naye utamsikia anajifanya yeye Mwarabu au Mzungu!
 
Back
Top Bottom