Video: Wabongo hii ni bangi au vipi, dereva anaachia usukani na kucheza

Video: Wabongo hii ni bangi au vipi, dereva anaachia usukani na kucheza

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hatari sana, yaani dereva ananogewa na wimbo hadi anaachia usukani na kurudi nyuma walipo abiria na kucheza cheza.

Itakua alipenda abiria,ndio maana kaamua kucheza kusema Ana weza,lakini yote hayo ni ujinga kuchezea kazi mimi ningekuwa [HASHTAG]#boss[/HASHTAG] ninge sema akapaki gari kwasababu ni kitu cha kushangaza Na kutisha
 
Hatari sana, yaani dereva ananogewa na wimbo hadi anaachia usukani na kurudi nyuma walipo abiria na kucheza cheza.

HIVI HII GARI NI MANUAL AU AUTOMATIC? KWA MDA NILIOENDESHA MAGARI BOTH AUTOMATIC NA MANUAL, I CAN'T FIGURE OUT MTU ANAWEZAJE KUFANYA HIVI BILA MAZARA, AFUNGWE TU HAKUNA NAMNA
 
Hatari sana, yaani dereva ananogewa na wimbo hadi anaachia usukani na kurudi nyuma walipo abiria na kucheza cheza.

Hii song iko lit nimecheki ka concert yake waaaah i swear waTZ wanapenda nyimbo zao na nikama kila mse amejua hii song leo

Nimeingia IG kila mse amepost video ya Darasa muziki waaah
 
Hehehe but this song is nice
1481304398340.png
 
Back
Top Bottom