Video: Wabongo hii ni bangi au vipi, dereva anaachia usukani na kucheza

Video: Wabongo hii ni bangi au vipi, dereva anaachia usukani na kucheza

Wakenya mnatuwaza kila saa khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanni asfutiwe reseni huyo,hao ndio wanaosababsha ajali afu wanasingizia miundo mbinu.WAHUSIKA VP?
 
Kuna watu kweli hawajali uslama wao na wa wengine
Huyu mjinga afungwe miaka tu iwe somo kwa majuha kama yeye
 
Lakini jameni huu wimbo unapendeza, nimehisi sababu za dereva kuachia usukani.....
Chambua kama karanga, wacha maneno weka muziki, umeota pembe imebaki mkia...uuuuiii!!!

 
"Maisha na mziki,"
" acha maneno weka Mziki"
"Ukiwa top, ukiwa up, ukiwa juu, ukiwa chini "
"Piga Mziki"
 
"Maisha na mziki,"
" acha maneno weka Mziki"
"Ukiwa top, ukiwa up, ukiwa juu, ukiwa chini "
"Piga Mziki"

Hivi nahisi kama alikua anamchana Diamond, ila kwa kweli jamaa noma. Yaani narudia kuucheza mara nyingi bila kuboeka.
 
Back
Top Bottom