Video: Wafuasi wa Gwajima ( Ufufuo na Uzima ) wakiwa wanamwombea marehemu afufuke

Video: Wafuasi wa Gwajima ( Ufufuo na Uzima ) wakiwa wanamwombea marehemu afufuke

Inahuzunisha sisi tunayoijua kweli (wakristo) na dini ya kweli (ukristo) tunafanya hivi.

Tumezidiwa hata na wale wasioijua kweli ambao walituiga imani yetu sisi na wayahudi ambao wananidhamu kwenye imani yao waliyotuiga nakubadilishabadilisha vipengele.

Whyyyyy whyyyy whyyy?!!
hebu elezea kwa ufanisi haya uloyaandika na kuweka ushahidi
 
Dini ni taasisi za kitapeli zilizoanzishwa huko ulaya.

Huku Afrika dini zimepumbazisha watu zaidi kuliko mahala popote.

Taasisi nyingi za dini sasa hivi zinatajirikia huku Afrika huku zikiendelea kuwafukarisha waumini wake.

Ujuilize kama dini sio taasisi za kitapeli, zinachangisha wamini kujenga shule ama hospitali halafu ikiamilika wanaweka ada ama gharama kubwa ambayo waumini hawawezi kulipa, mbaya zaidi mlango wa jengo la hiyo taasisi ukiharibika bado waumini wanaambiwa wachangie kujengwa.

Dini zimepumbazisha sana watu huku Afrika.
 
Back
Top Bottom