Video: Wafuasi wa Gwajima ( Ufufuo na Uzima ) wakiwa wanamwombea marehemu afufuke

hebu elezea kwa ufanisi haya uloyaandika na kuweka ushahidi
 
Dini ni taasisi za kitapeli zilizoanzishwa huko ulaya.

Huku Afrika dini zimepumbazisha watu zaidi kuliko mahala popote.

Taasisi nyingi za dini sasa hivi zinatajirikia huku Afrika huku zikiendelea kuwafukarisha waumini wake.

Ujuilize kama dini sio taasisi za kitapeli, zinachangisha wamini kujenga shule ama hospitali halafu ikiamilika wanaweka ada ama gharama kubwa ambayo waumini hawawezi kulipa, mbaya zaidi mlango wa jengo la hiyo taasisi ukiharibika bado waumini wanaambiwa wachangie kujengwa.

Dini zimepumbazisha sana watu huku Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…