Video: Wakenya wachoshwa kuongoza na makabila mawili, waomba Kenya igawanyike

Video: Wakenya wachoshwa kuongoza na makabila mawili, waomba Kenya igawanyike

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
ma​

MY TAKE:
Kenya huenda yakawakuta yanayotokea huko Sudan. Wazo la kuigawa Kenya ni wazo linalohitaji mjadala kwa Sasa, sio jambo la kupuuzwa.
 
Hii toka uchaguzi uliopita kati Uhuruto na Raila,walianzusha mpaka na bendera Yao mkuu. Ila this time hii haitapoa
 
Lakini hii imetia fora.. hizi kabila mbili zitatawala mpaka lini?!!! Toka wapate uhuru hadi leo? Bora ipigwe pasu aisee....

MY TAKE: Kenya huenda yakawakuta yanayotokea huko Sudan. Wazo la kuigawa Kenya ni wazo linalohitaji mjadala kwa Sasa, sio jambo la kupuuzwa
Hii toka uchaguzi uliopita kati Uhuruto na Raila,walianzusha mpaka na bendera Yao mkuu. Ila this time hii haitapoak
 
Umekua ukiomba haya tangu ujoin hili jukwaa. Ni lini haya unayotuombea yatatukuta?
Kama ambavyo nilikua nikiwaambia kuhusu SGR kuwa ni mradi usiokua na faida kwa Kenya tangu hiyo reli ilipokua inajengwa, Leo hii yametokea, reli haitengenezi faida yoyote na ni mzigo kwa walipa Kodi, Leo hii 60% ya makusanyo yenu yanakwenda kulipa madeni, sehemu kubwa ya deni ni SGR, wakati ule mlikua mkibisha, hili nalo mnabisha, ninyi hamtaki kujifunza.


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
27 November 2019
Nairobi, Kenya

Tanzania's Minister for Foreign affairs Palamagamba Kabudi: A united Kenya means a united East Africa

 
Hotuba ya kali ya kihistoria ya Mzee Jomo Kenyatta kuhusu vinyangarika wanaoitishia serikali



Katika hotuba hii mbele ya Mzee Jaramogi Odinga, rais wa jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Jomo Kenyatta aagiza wanaoleta matata wakamatwe na kusagwa kama unga ... maana serikali inayoongozwa na KANU haiwezi kuvumilia upuuzi wa kuleta ukabila ndani ya taifa huru la Kenya ...

Amesisitiza Mzee Jomo Kenyatta kuwa ikiwa waliweza kumfurusha mkoloni akarudi Uingereza watashindwa kuwashughulikia wafuasi wa Jaramogi Odinga ? alihoji Mzee Jomo Kenyatta huku sauti kutoka hadhara zilizokuwa mkutanoni wakipiga kelele Jaramogi Odinga akatupwe gerezani.

Lakini Mzee Jomo Kenyatta anasema Jaramogi Odinga wametoka naye mbali na ni rafikiye hivyo hawezi kufanya hilo na wala wasimfundishe nini yeye Jomo Kenyatta .... ama sivyo ataanza na hao wanaopiga kelele ktk mkutano...
 
Back
Top Bottom