Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.they are talking of democracy eti vyombo vya habari vimeminywa...which democracy do you want?! Kenya kuna democracy gani? Democracy of the few elites who rule the country mnadhani ndio democracy?! The land of Kenya inamilikiwa na watu wachache while other Kenyans are languishing in poverty.
familia moja hapo Kenya tena ya kiongozi mmoja maarufu inamiliki ardhi kwa maelfu na maelfu ya ekari wakati wakenya wengine baadhi yao hata square meter ya ardhi hawana...yaani familia moja inamiliki karibu 1/7 ya ardhi yote ya Kenya halafu mnapiga kelele ya demokrasia. Ni Nani wa kuonewa huruma Kama siyo ninyi wakenya ..halafu mnakopa hela mnazoita za Corona na zinaliwa na watu wachache huku maelfu kwa maelfu ya wakenya wakiwa wamelazimishwa kujifungia ndani na wasifanye kazi na hivyo kuteseka kwa njaa..hiyo ndiyo demokrasia?!
Kama tume yenu iko huru Sasa vurugu zenu za Nini wakati was uchaguzi?! Sasa mnakatana mapanga ya Nini Kama tume yenu iko huru? Tanzania sisi we have our own system which fits our way of running things...hatutaki mgawanyiko wa jamii...hiki ni kipi di Cha uchaguzi msilete za kuleta hapa...msiwachochee watanzania wajaribu kuasi mamlaka..we know kuna wakenya wanatuonea wivu...they should mind their own business...nyie ndio watu wa kuonewa huruma siyo Tanzania...you are talking of liberal democracy do you think it fits in Africa in each and every aspect?!
Mtanzania wa wapi wewe unaa dika 'twasema'?! Lwa hiyo Kenya ndiko kwenye uchaguzi! Eti Kenya Kuna tume insyodaiwa ni huru ya uchaguzi. Sasa mbona huwa wanapigana mapanga wakati wa uchaguzi wakidai kuwa tume Ina upendeleo?! Ni Nani huwa anateua hiyo tume?! Na composition yake ikoje?!Watanzania twasema hapa hakuna uchaguzi ni janja janja tu
Na wanasemaga hawana muda na sisiKwa hiyo Kenya mna kipindi mahsusi kwa ajili tu ya kutujadili Tanzania? Hongereni.
Na sisi tunashangaa mmepigania katiba lakini haijawasaidia, maana Uhuru na Ruto ni Rais na Makamu wake katika serikali moja, lakini wanavyopingana utadhani mmoja anaunda serikali na mwingine ni mpinzani. Jana tu Uhuru ameshutumiwa kumpiga mabomu ya machozi Ruto ndani ya kanisa, hadi bishop akamwaga machozi, jambo ambalo kwa Tanzania haliwezi kabisa kufanyika. Hiyo katiba imesaidia nini sasa?...Jameni mashujaa tuliopambana mpaka tukapata katiba mpya tutembee kifua mbele siku zote, tutawaachia watoto wetu urithi wa maana sana, inawezekana vizazi vya kesho visije kujua jitihada na mateso tuliopitia hadi kuipata hii katiba, lakini mwisho wa siku kama mzazi, unaachia wanao urithi mzuri bila kujali watautumia vipi.
... kwa wenzetu Tanzania ukifuatilia siasa zao, unajiuliza mbona waharibu hela nyingi hivyo kufanya kampeni za maigizo zisizokua na umuhimu wowote kidemokrasia.
Uchaguzi mfu kwa vipi?! Halafu Chadema itashinda uchaguzi si ndiyo?!Acha kulia lia the truth must be told Tanzania hatuna uchaguzi ni janja tu hapa tunapoteza zaidi ya billion 300 kwa uchaguzi mfu
Haha..leo ndo nimeng'amua hili swali..kumbe Venus Star ni mtz..miaka yote najua ni mkenya..We are proud of having such a Talented individual in our contry..I thought you were from Mombasa Just because of the plain and fine Swahil language you speak.Lengo lenu ni nini hasa!?
Tanzania imepambana na kila aina ya ujinga.
Siasa tumeanza miaka mingi zaidi yenu.
We know what we are doing.
Nyie nchi yenu ipo chini ya elite society.
.
CCM ilitangaza hapa kwetu kuwa itatumia nguvu ya DOLA kubaki madarakani, kwa hivyo demokrasia gani ipo hapa? Hivi vitu vya zama ya mawe bado tukonavyo hadi zama za technologia. Aibu TZ, Warioba alishauri kuwa NEC isiteuliwe na President ili kusiwe na DOUBLE STANDARD haihitaji PHD kulielewa hili.they are talking of democracy eti vyombo vya habari vimeminywa...which democracy do you want?! Kenya kuna democracy gani? Democracy of the few elites who rule the country mnadhani ndio democracy?! The land of Kenya inamilikiwa na watu wachache while other Kenyans are languishing in poverty.
familia moja hapo Kenya tena ya kiongozi mmoja maarufu inamiliki ardhi kwa maelfu na maelfu ya ekari wakati wakenya wengine baadhi yao hata square meter ya ardhi hawana...yaani familia moja inamiliki karibu 1/7 ya ardhi yote ya Kenya halafu mnapiga kelele ya demokrasia. Ni Nani wa kuonewa huruma Kama siyo ninyi wakenya ..halafu mnakopa hela mnazoita za Corona na zinaliwa na watu wachache huku maelfu kwa maelfu ya wakenya wakiwa wamelazimishwa kujifungia ndani na wasifanye kazi na hivyo kuteseka kwa njaa..hiyo ndiyo demokrasia?!
Kama tume yenu iko huru Sasa vurugu zenu za Nini wakati was uchaguzi?! Sasa mnakatana mapanga ya Nini Kama tume yenu iko huru? Tanzania sisi we have our own system which fits our way of running things...hatutaki mgawanyiko wa jamii...hiki ni kipi di Cha uchaguzi msilete za kuleta hapa...msiwachochee watanzania wajaribu kuasi mamlaka..we know kuna wakenya wanatuonea wivu...they should mind their own business...nyie ndio watu wa kuonewa huruma siyo Tanzania...you are talking of liberal democracy do you think it fits in Africa in each and every aspect?!
Hiyo CCM unayoijua wewe ilitangaza wapi hayo? Hivi mtu ukileta ushauri au opinion ni lazima itekelezwe?! Halafu usidhani watu ni wajinga kukataa ushauri...waliokataa waliangalia mbali zaidi kuhusu madhara yake kuliko faida..CCM ilitangaza hapa kwetu kuwa itatumia nguvu ya DOLA kubaki madarakani, kwa hivyo demokrasia gani ipo hapa? Hivi vitu vya zama ya mawe bado tukonavyo hadi zama za technologia. Aibu TZ, Warioba alishauri kuwa NEC isiteuliwe na President ili kusiwe na DOUBLE STANDARD haihitaji PHD kulielewa hili