Video: Wakenya waionea huruma Tanzania, jameni tuna mengi ya kushukuru


Watanzania twasema hapa hakuna uchaguzi ni janja janja tu
Mtanzania wa wapi wewe unaa dika 'twasema'?! Lwa hiyo Kenya ndiko kwenye uchaguzi! Eti Kenya Kuna tume insyodaiwa ni huru ya uchaguzi. Sasa mbona huwa wanapigana mapanga wakati wa uchaguzi wakidai kuwa tume Ina upendeleo?! Ni Nani huwa anateua hiyo tume?! Na composition yake ikoje?!
 
Na sisi tunashangaa mmepigania katiba lakini haijawasaidia, maana Uhuru na Ruto ni Rais na Makamu wake katika serikali moja, lakini wanavyopingana utadhani mmoja anaunda serikali na mwingine ni mpinzani. Jana tu Uhuru ameshutumiwa kumpiga mabomu ya machozi Ruto ndani ya kanisa, hadi bishop akamwaga machozi, jambo ambalo kwa Tanzania haliwezi kabisa kufanyika. Hiyo katiba imesaidia nini sasa?

 
Acha kulia lia the truth must be told Tanzania hatuna uchaguzi ni janja tu hapa tunapoteza zaidi ya billion 300 kwa uchaguzi mfu
Uchaguzi mfu kwa vipi?! Halafu Chadema itashinda uchaguzi si ndiyo?!
 
Lengo lenu ni nini hasa!?
Tanzania imepambana na kila aina ya ujinga.
Siasa tumeanza miaka mingi zaidi yenu.
We know what we are doing.
Nyie nchi yenu ipo chini ya elite society.
.
Haha..leo ndo nimeng'amua hili swali..kumbe Venus Star ni mtz..miaka yote najua ni mkenya..We are proud of having such a Talented individual in our contry..I thought you were from Mombasa Just because of the plain and fine Swahil language you speak.
 
Kwan ata na nyie si mmeambiwa mkichagua RUTO no one knows him, coz kizazi chake hakikuwah kutawqla kenya πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ nchi ya utawala wa vizazi
 
CCM ilitangaza hapa kwetu kuwa itatumia nguvu ya DOLA kubaki madarakani, kwa hivyo demokrasia gani ipo hapa? Hivi vitu vya zama ya mawe bado tukonavyo hadi zama za technologia. Aibu TZ, Warioba alishauri kuwa NEC isiteuliwe na President ili kusiwe na DOUBLE STANDARD haihitaji PHD kulielewa hili
 
Hiyo CCM unayoijua wewe ilitangaza wapi hayo? Hivi mtu ukileta ushauri au opinion ni lazima itekelezwe?! Halafu usidhani watu ni wajinga kukataa ushauri...waliokataa waliangalia mbali zaidi kuhusu madhara yake kuliko faida..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…