Video: Wako wapi hawa wasanii wa zamani wa Bongo Fleva

Video: Wako wapi hawa wasanii wa zamani wa Bongo Fleva

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954

Yuko wapi huyu jamaa.

Na mwenzake huyu


TopC na Pasha wako wapi?

Kweli naelekea kuzeeka. Maisha yanaenda kasi sana.
 
Subiri wakifa utajua wapo wap
 
wimbo poa sana huu!!!!!!
Naona alikosa meneja wa kumuongoza ila ana kipaji cha hali ya juuu sana!!!!
 
Back
Top Bottom