Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Walimu wawili walionekana wakigombana katika chumba cha ofisi ya wafanyakazi (Walimu) katika Shule ya Ibru College, Agbarha-Otor, Jimbo la Delta, Nigeria. Video iliyoachiwa mtandaoni inaonyesha walimu hao wakipigana huku walimu wengine wakipiga kelele kwa hofu na kupiga simu za dharura kupata usaidizi.
Wanafunzi na wafanyakazi wengine wanaonekana wakitazama kupitia dirisha ili kushuhudia ugomvi huo. Inaripotiwa kuwa tukio hilo lilitokea Jumatano, Machi 5, 2025.