VIDEO: Walimu wawili wazichapa makavu Ofisini mbele ya Walimu na wanafunzi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648

Walimu wawili walionekana wakigombana katika chumba cha ofisi ya wafanyakazi (Walimu) katika Shule ya Ibru College, Agbarha-Otor, Jimbo la Delta, Nigeria. Video iliyoachiwa mtandaoni inaonyesha walimu hao wakipigana huku walimu wengine wakipiga kelele kwa hofu na kupiga simu za dharura kupata usaidizi.

Wanafunzi na wafanyakazi wengine wanaonekana wakitazama kupitia dirisha ili kushuhudia ugomvi huo. Inaripotiwa kuwa tukio hilo lilitokea Jumatano, Machi 5, 2025.

Your browser is not able to display this video.
 
Hasira hasara
 
Watu wanastress kama mtu kanywa petroli moto kidogo tu analipuka. Unakuta anamadeni anapokea 5K KWA mwezi.
Alafu yule Red kama ni mwalimu wa hesabu ila hesabu za kukamata viungo vya uzazi vya mpinzani wake zimegoma.

Hapo wafukuzwe kazi tu wakatafute maisha kwingine. Ishakuwa doa KWA shule.
 
Time will tell..
 
Hawa waliorusha video hii ni wapumbavu. Hawajui kuwa hii inaweza kugharimu ajira zao (waliopigana) kwa mujibu wa taratibu. Ingekuwa busara kama wangewaamua kuliko kufanya hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…