MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Ina maana mpaka mwanamke anaenda kuachanisha ugomvi kwamba wanaume hawapo au vipi
Walimu wawili walionekana wakigombana katika chumba cha ofisi ya wafanyakazi (Walimu) katika Shule ya Ibru College, Agbarha-Otor, Jimbo la Delta. Video iliyoachiwa mtandaoni inaonyesha walimu hao wakipigana huku walimu wengine wakipiga kelele kwa hofu na kupiga simu za dharura kupata usaidizi.
Wanafunzi na wafanyakazi wengine wanaonekana wakitazama kupitia dirisha ili kushuhudia ugomvi huo. Inaripotiwa kuwa tukio hilo lilitokea Jumatano, Machi 5, 2025.
Msamehe swaumu kali ila kashabadirisha.Jumatano ilikuwa Machi 6, 2025???
😀 appreciateMsamehe swaumu kali ila kashabadirisha.
Nchi gani?
Walimu wawili walionekana wakigombana katika chumba cha ofisi ya wafanyakazi (Walimu) katika Shule ya Ibru College, Agbarha-Otor, Jimbo la Delta. Video iliyoachiwa mtandaoni inaonyesha walimu hao wakipigana huku walimu wengine wakipiga kelele kwa hofu na kupiga simu za dharura kupata usaidizi.
Wanafunzi na wafanyakazi wengine wanaonekana wakitazama kupitia dirisha ili kushuhudia ugomvi huo. Inaripotiwa kuwa tukio hilo lilitokea Jumatano, Machi 5, 2025.
Kwa hii mishahara ya CCM lazima wapate changamoto ya akili
Walimu wawili walionekana wakigombana katika chumba cha ofisi ya wafanyakazi (Walimu) katika Shule ya Ibru College, Agbarha-Otor, Jimbo la Delta, Nigeria. Video iliyoachiwa mtandaoni inaonyesha walimu hao wakipigana huku walimu wengine wakipiga kelele kwa hofu na kupiga simu za dharura kupata usaidizi.
Wanafunzi na wafanyakazi wengine wanaonekana wakitazama kupitia dirisha ili kushuhudia ugomvi huo. Inaripotiwa kuwa tukio hilo lilitokea Jumatano, Machi 5, 2025.
Mwishoni Dada ndiyo naona anawaamulia! Aibu.Watu wanastress kama mtu kanywa petroli moto kidogo tu analipuka. Unakuta anamadeni anapokea 5K KWA mwezi.
Alafu yule Red kama ni mwalimu wa hesabu ila hesabu za kukamata viungo vya uzazi vya mpinzani wake zimegoma.
Hapo wafukuzwe kazi tu wakatafute maisha kwingine. Ishakuwa doa KWA shule.
Mwana mama ndo anawahamulia