Video: Waliojitambulisha kuwa ni Askari wamvamia Mwananchi usiku wa manane

Yote kwa yote nitaendelea kumpogeza DC Nickison Saimon a.k.a Niki wa pili hajaonyesha ulimbukeni wa madaraka
 
Kile kijamaa wanakichekea sana! Mimi ningejenga huko ningemroga awe kichaa maisha yake yote..
 
The old paskal whom I know😂😂
 
Nunua hata gobole ishi nalo ndani,unakimbia halafu unaacha familia nonsense
Hivi ukikimbia ukaacha familia, kwa nini waikamate familia ambayo haikufanya kosa?

Mie nikichimba mkaikamata familia yangu, mjiandae kuilisha maana sitorudi ng'ooo
 
Wapi Said Mwamwindi!

Siku hizi watu hawana hata upinde na mishale ndani.

Hapo unatokea mlango wa nyuma halafu unawapukutisha kutokea gizani.😀

Maana hujui ni majambazi au namna gani!!
 
Nchi h
Nchii kwa sasa hakuna jipya. Ukishaamua kuwapa watu vyeo kwa kubalance equation badala ya kuangalia weledi usitegemee lolote. Mtazamo wangu haya mambo ya kusema usawa, sijui makundi maalum ni tatizo. Yaani unampa mtu cheo kwa kuwa tu anatoka kundi flani bila kuangalia weledi na uwezo wake wa kiakili. Ni majanga
 
Wapi Said Mwamwindi!

Siku hizi watu hawana hata upinde na mishale ndani.

Hapo unatokea mlango wa nyuma halafu unawapukutisha kutokea gizani.😀

Maana hujui ni majambazi au namna gani!!
Mimi tena ngoja nikatafute kuna mishale ile yenye sumu. Wamasai wanazo lazima niwe nazo
 
Nimekaa pale

SERIKALI hii haina historia ya kudeal na watu wabaya madarakani. Inawalea
 
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…