Video: Waliojitambulisha kuwa ni Askari wamvamia Mwananchi usiku wa manane

Umeandika kwa kifupi lkn maneno mazito, shukuru Mungu wewe ni mwenzao
 
Umeandika kwa kifupi lkn maneno mazito, shukuru Mungu wewe ni mwenzao
Nilijiunga nao rasmi ile 2015 na nilitangaza humu GE2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! nilisema
I'm a survival!
P
 
Kaka P huna noooma kabisa hata mtu akikuzingua upo calm barikiwa sana mkuu.
 
Mkuu lifanye kuwa bandiko rasmi uwe uzi itafaa zaidi maoni mazuri
 
Aisee
 
Halafu baada ya kumkubali....
Si ndio kama vile, kwa fani yangu, ya uandishi wa habari, ukimkubali mtu ni unamuandika vizuri, hivyo nimemuandika sana.
Kwa fani yangu ya utangazaji, ukimkubali mtu unamtangaza vizuri, hivyo nimemtangaza sana.
Na kwa role yangu ya media as the watchdog of the society, akifanya vizuri tunamsifu, nimemsifu sana kwa ushujaa wake kujiuzulu.
Akifanya vibaya tunamkosoa, nimemkosoa, kujaribu kulikata tawi la mti aliokalia, ila ukosoaji wangu ni constructive criticisim, ukosoaji wa kujenga na sio wa kuzodoa au kubagaza, bali ukosoaji wenye kuonyesha makosa na ushauri wa the right thing to do.

Kwa vile huyu ni kada wa Chama cha Mapinduzi, CCM, na chama hicho kina utaratibu wake wa ukosoaji, ni kupitia vikao na sio media, hivyo nikamshauri, ili aweze kufanya ukosoaji huo anao ufanya, aachane kwanza na CCM ndipo akosoe kivile.

Kuna wengi wanadhani Polepole amepotezwa kwa sababu ya ukosoaji ule!, no!, Polepole amepotezwa kwasababu aligusa waya fulani ambao ni high voltage power line, aligusa visivyoguswa, a very sensitive area ambayo ni most dangerous!, ambayo ukifikia kuigusa, huwezi kubaki salama!, ni kama kuijaribu sumu kwa kuilamba.

Na za chini chini, kuna watu wengine wawili watatu, wanacheza makida makida kwenye hiyo high voltage line, wakati umeme umezimwa na hawajui utawashwa lini, hivyo ikitokea umewashwa ukawakuta kwenye line, na hao watatu nao itakuwa ndio kama vile kabla ya 2030!.

Politics is very dangerous game!.

P
 
Okay.

Kama Polepole kafanya kosa ilifaa kupelekwa mahakamani akashitakiwa na kuhukumiwa.

Kama Kuna mhimili mwingine wenye nguvu za kuhukumu watu kupotezwa nje ya mahakaman...haya bhana...acha tuishi tu.
 
Siamini kama na wewe unaweza waona mtu kama huyu DC ni WA OVYO
 
Tukifanikwa kupata katiba mpya mambo kama viti maalumu vya wabunge na madiwani vinapaswa kufutwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…