Video: Wamasai wakiondoka Loliondo

Video: Wamasai wakiondoka Loliondo

Mkuu uko sahihi kabisa, sasa ipi bora, kutumiwa na Wakenya au Mwarabu?
Mwarabu ni muwekezaji kwahiyo nchi yetu itafaidika na uwekezaji huo. Wakenya ni waharibifu kwahiyo nchi yetu itapata hasara kutokana na uharibifu wao. Mbona hata wao wenyew waliwahamisha hao wamasai wao kule kwao ili kutunza mazingira ya mbuga zao? Sasa iweje sisi ndio tutumike kama chaka la malisho ya hao waliofukuzwa kwao afu baadae mifugo ikishashibiana, na kunenepeana nyama, maziwa na faida zingine za mifugo hiyo wapeleke kwao? Kwamb sisi ardhi yetu iharibiwe na mifugo kwa bure kabisa afu faida wapate wale waliowafukuza kwa kigezo cha kulinda mbuga zao.
 
Wamasai lazima wahame Ngorongoro. Tufike mahali tutofautishe binadamu na wanyama. Ukweli ni kwamba Ole Sendeka ndiye KUWADI wa wafanyabiashara wa Kenya wanaofugia ng'ombe zao ndani ya Ngorongoro. Maelfu ya ng'ombe waliopo pale siyo ya Wamasai wa Tanzania bali Wamasai wa Tanzania ni vijakazi tu wanaolipwa ujira.

Hiyo Sheria inawanufaisha wakenya na siyo watanzania
Sa 100 lazima tumtupe jela time will tell
 
Hivi hao wanyama wanakula nini hapo? Wasukuma walifurushwa na lowasa kule ihefu na hawakupewa usafiri, hawa wamejengewa nyumba wanabebwa na Costa, na huyo kig wa kama alikataa rushwa ni vyema alitumikia kiapo chake.
Tofautisha migogoro miwili.

Kuna mgogoro wa Loliondo, huo serikali inafukuza wamasai waondoke ktk eneo la kilometa za mraba 1500 ili kumpa mwarabu. Hawa wamasai wa Loliondo hawapewi nyumba Handeni, bali hawa wamepunguziwa ukubwa wa eneo lao ambalo kwa asili ni kilometa za mraba 4000. Sasa wanafukuzwa katika kilometa za mraba 1500 wanasukumiziwa huko kwenye kilometa za mraba zilizobaki yaani 2500.
Eneo la kilometa za mraba 1500 serikali inazichukua na kumpa yule mwarabu wa kampuni ya OBC.

Mgogoro wa pili ni ule ulioko tarafa ya ngorongoro, huko ndo wachache wao wamejengewa nyumba huko Handeni na baadhi yao wanaondoka kwa hiyari

Kwa hiyo ni muhimu kuelewa hii migogoro, wengi wao hawaelewi. Mtiti uko Loliondo huko ndo kuna majeshi yanawaswaga wamasai watoke kwenye kilometa za mraba 1500 waende kwenye kilometa za mraba 2500 tu.

Wamasai wa Tarafa ya Loliondo hawahamishiwi Handeni, bali wale wa Tarafa ya Ngorongoro ndo wanahamishiwa Handeni
 
😢
 
Tushirikishe ushahidi kuhusu Ole Sendeka na hiyo mifugo kutoka nchi jirani?! Vinginevyo funga bakuli lako!
The fact that is unknown to you doesn't imply it's unknown to everybody. Mahali pa kupeleka ushahidi siyo JF
 
Tofautisha migogoro miwili.

Kuna mgogoro wa Loliondo, huo serikali inafukuza wamasai waondoke ktk eneo la kilometa za mraba 1500 ili kumpa mwarabu. Hawa wamasai wa Loliondo hawapewi nyumba Handeni, bali hawa wamepunguziwa ukubwa wa eneo lao ambalo kwa asili ni kilometa za mraba 4000. Sasa wanafukuzwa katika kilometa za mraba 1500 wanasukumiziwa huko kwenye kilometa za mraba zilizobaki yaani 2500.
Eneo la kilometa za mraba 1500 serikali inazichukua na kumpa yule mwarabu wa kampuni ya OBC.

Mgogoro wa pili ni ule ulioko tarafa ya ngorongoro, huko ndo wachache wao wamejengewa nyumba huko Handeni na baadhi yao wanaondoka kwa hiyari

Kwa hiyo ni muhimu kuelewa hii migogoro, wengi wao hawaelewi. Mtiti uko Loliondo huko ndo kuna majeshi yanawaswaga wamasai watoke kwenye kilometa za mraba 1500 waende kwenye kilometa za mraba 2500 tu.

Wamasai wa Tarafa ya Loliondo hawahamishiwi Handeni, bali wale wa Tarafa ya Ngorongoro ndo wanahamishiwa Handeni
Kwenye hizo Km 1,500 za Loliondo ndiyo kwenye vyanzo vya maji na ardhi oevu. Hivyo vyanzo ndivyo vinalisha mto Mara ambayo ndiyo passage kubwa ya wanyama wakati wa great migration. Kama Serikali italegea kuchukua hatua dhidi ya uharibifu wa mazingira kwenye eneo hilo basi hata Serengeti ITAKUFA.

Iacheni Serikali ifanye maamuzi leo kwa faida ya baadaye kama vile Mkoloni alivyofanya miaka ya 1950s kwa kuwaondoa Wasukuma, Wamasai, Watatoga na Wamaghati kwenye pori la Serengeti tunayoiona sasa.
 
Kwa wasioelewa mgogoro huko Ngorongoro na Loliondo.
Ni hivi , Huko Loliondo ndio kuna mwarabu(OBC) anayetaka ardhi ya wananchi, nguvu na ubabe unatumika kuwaondoa watake wasitake.

Eneo la Kilometa za mraba 1500 huko Loliondo ni eneo ambalo yule mwarabu wa OBC analitaka , na ndio figisufigisu zote hizi za kufukuza wananchi ili kumpa huyu mwarabu eneo afanye anavyotaka. Huyu mwarabu ndio Kigwangwallah alipokuwa waziri alisema alitaka kumhonga dola laki moja akakataa

Na kuhusu Ngorongoro, huko ndio wamasai wamejengewa nyumba chache Handeni ili kuwahadaa watanzania kuwa serikali inawajali wamasai kumbe bosheni. Vijumba visivyofika 1000 vingewatoshaje wamasai Laki moja?

Baadhi ya video za wananchi wakiondoka kwenye eneo wanalotaka kumpa mwarabu wa OBC hizi hapa:

View attachment 2273617

View attachment 2273618

View attachment 2273651
Uongo wako tuu tena hao wanabahat wanahamishwa wanapewa na nyumba wangap wamehamishwa bila hata kulipwa
 
Kwenye hizo Km 1,500 za Loliondo ndiyo kwenye vyanzo vya maji na ardhi oevu. Hivyo vyanzo ndivyo vinalisha mto Mara ambayo ndiyo passage kubwa ya wanyama wakati wa great migration. Kama Serikali italegea kuchukua hatua dhidi ya uharibifu wa mazingira kwenye eneo hilo basi hata Serengeti ITAKUFA.

Iacheni Serikali ifanye maamuzi leo kwa faida ya baadaye kama vile Mkoloni alivyofanya miaka ya 1950s kwa kuwaondoa Wasukuma, Wamasai, Watatoga na Wamaghati kwenye pori la Serengeti tunayoiona sasa.
Huyo mkoloni unayesema aliwaondoa wamasai Serengeti, ndiye aliyewaleta majority yao huko Loliondo na sehemu nyingine za Ngorongoro, kwani hakuona vyanzo vya maji?
 
Mleta mada ni mmoja wa wale wana harakati uchwara walioamua kuuza utu wao kwa sababu ya njaa zao. Mara nyingi hujifanyaga ustaz, kumbe mnafiki tu aliekubali kushikiwa akili na wajanja wachache kutoka Kenya kwa faida ya hao hao wakenya.
Jibu hoja yake. Je mnunuzi ni yule aliyedaiwa na Kigwangala kuwa alitaka kumhonga? Hayo ndiyo unapaswa kujibu na siyo kuja kwa gia ya matusi na kejeli!! Inatia mashaka kukuona unaamua kukwepa hoja ya msingi na kujikita kwenye matusi!!
 
Tofautisha migogoro miwili.

Kuna mgogoro wa Loliondo, huo serikali inafukuza wamasai waondoke ktk eneo la kilometa za mraba 1500 ili kumpa mwarabu. Hawa wamasai wa Loliondo hawapewi nyumba Handeni, bali hawa wamepunguziwa ukubwa wa eneo lao ambalo kwa asili ni kilometa za mraba 4000. Sasa wanafukuzwa katika kilometa za mraba 1500 wanasukumiziwa huko kwenye kilometa za mraba zilizobaki yaani 2500.
Eneo la kilometa za mraba 1500 serikali inazichukua na kumpa yule mwarabu wa kampuni ya OBC.

Mgogoro wa pili ni ule ulioko tarafa ya ngorongoro, huko ndo wachache wao wamejengewa nyumba huko Handeni na baadhi yao wanaondoka kwa hiyari

Kwa hiyo ni muhimu kuelewa hii migogoro, wengi wao hawaelewi. Mtiti uko Loliondo huko ndo kuna majeshi yanawaswaga wamasai watoke kwenye kilometa za mraba 1500 waende kwenye kilometa za mraba 2500 tu.

Wamasai wa Tarafa ya Loliondo hawahamishiwi Handeni, bali wale wa Tarafa ya Ngorongoro ndo wanahamishiwa Handeni
Hao wamasai wa Loliondo ni wangapi? Je eneo la kilomita za mraba 2500 zitawatosha?
 
Huyo mkoloni unayesema aliwaondoa wamasai Serengeti, ndiye aliyewaleta majority yao huko Loliondo na sehemu nyingine za Ngorongoro, kwani hakuona vyanzo vya maji?
Kama Mkoloni aliwaondoa Serengeti na kuwaleta Loliondo kwa nini unai question Serikali kuwaondoa Ngorongoro na kwenda Serengeti? Au una mawazo ya KITUMWA (Slavery mentality)
 
Kwenye hizo Km 1,500 za Loliondo ndiyo kwenye vyanzo vya maji na ardhi oevu. Hivyo vyanzo ndivyo vinalisha mto Mara ambayo ndiyo passage kubwa ya wanyama wakati wa great migration. Kama Serikali italegea kuchukua hatua dhidi ya uharibifu wa mazingira kwenye eneo hilo basi hata Serengeti ITAKUFA.

Iacheni Serikali ifanye maamuzi leo kwa faida ya baadaye kama vile Mkoloni alivyofanya miaka ya 1950s kwa kuwaondoa Wasukuma, Wamasai, Watatoga na Wamaghati kwenye pori la Serengeti tunayoiona sasa.
Je ni kweli kuwa hizo kilomita za mraba 1500 ndizo anazopewa huyo mwarabu? mbona hilo hulisemei? Je hulisemei kwa bahati mbaya au
 
Haya mambo hatukuyasikia kipindi Cha magu inaonyesha magu aliipenda nchi yake na watu wake Hawa wa Sasa ni madalali watauza Kila Kona ya nchi muda utasema
 
Back
Top Bottom