Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Mwarabu ni muwekezaji kwahiyo nchi yetu itafaidika na uwekezaji huo. Wakenya ni waharibifu kwahiyo nchi yetu itapata hasara kutokana na uharibifu wao. Mbona hata wao wenyew waliwahamisha hao wamasai wao kule kwao ili kutunza mazingira ya mbuga zao? Sasa iweje sisi ndio tutumike kama chaka la malisho ya hao waliofukuzwa kwao afu baadae mifugo ikishashibiana, na kunenepeana nyama, maziwa na faida zingine za mifugo hiyo wapeleke kwao? Kwamb sisi ardhi yetu iharibiwe na mifugo kwa bure kabisa afu faida wapate wale waliowafukuza kwa kigezo cha kulinda mbuga zao.Mkuu uko sahihi kabisa, sasa ipi bora, kutumiwa na Wakenya au Mwarabu?
Sa 100 lazima tumtupe jela time will tellWamasai lazima wahame Ngorongoro. Tufike mahali tutofautishe binadamu na wanyama. Ukweli ni kwamba Ole Sendeka ndiye KUWADI wa wafanyabiashara wa Kenya wanaofugia ng'ombe zao ndani ya Ngorongoro. Maelfu ya ng'ombe waliopo pale siyo ya Wamasai wa Tanzania bali Wamasai wa Tanzania ni vijakazi tu wanaolipwa ujira.
Hiyo Sheria inawanufaisha wakenya na siyo watanzania
Tofautisha migogoro miwili.Hivi hao wanyama wanakula nini hapo? Wasukuma walifurushwa na lowasa kule ihefu na hawakupewa usafiri, hawa wamejengewa nyumba wanabebwa na Costa, na huyo kig wa kama alikataa rushwa ni vyema alitumikia kiapo chake.
😢Tofautisha migogoro miwili.
Kuna mgogoro wa Loliondo, huo serikali inafukuza wamasai waondoke ktk eneo la kilometa za mraba 1500 ili kumpa mwarabu. Hawa wamasai wa Loliondo hawapewi nyumba Handeni, bali hawa wamepunguziwa ukubwa wa eneo lao ambalo kwa asili ni kilometa za mraba 4000. Sasa wanafukuzwa katika kilometa za mraba 1500 wanasukumiziwa huko kwenye kilometa za mraba zilizobaki yaani 2500.
Eneo la kilometa za mraba 1500 serikali inazichukua na kumpa yule mwarabu wa kampuni ya OBC.
Mgogoro wa pili ni ule ulioko tarafa ya ngorongoro, huko ndo wachache wao wamejengewa nyumba huko Handeni na baadhi yao wanaondoka kwa hiyari
Kwa hiyo ni muhimu kuelewa hii migogoro, wengi wao hawaelewi. Mtiti uko Loliondo huko ndo kuna majeshi yanawaswaga wamasai watoke kwenye kilometa za mraba 1500 waende kwenye kilometa za mraba 2500 tu.
Wamasai wa Tarafa ya Loliondo hawahamishiwi Handeni, bali wale wa Tarafa ya Ngorongoro ndo wanahamishiwa Handeni
The fact that is unknown to you doesn't imply it's unknown to everybody. Mahali pa kupeleka ushahidi siyo JFTushirikishe ushahidi kuhusu Ole Sendeka na hiyo mifugo kutoka nchi jirani?! Vinginevyo funga bakuli lako!
Haya ni vibaraka wa Wakenya basi!!Unachanganya mambo hapa. Wano shugulikiwa sio wakenya tu. Na watanzania pia. Ingekuwa wakenya tu si wangeondolewa wao?
Kwenye hizo Km 1,500 za Loliondo ndiyo kwenye vyanzo vya maji na ardhi oevu. Hivyo vyanzo ndivyo vinalisha mto Mara ambayo ndiyo passage kubwa ya wanyama wakati wa great migration. Kama Serikali italegea kuchukua hatua dhidi ya uharibifu wa mazingira kwenye eneo hilo basi hata Serengeti ITAKUFA.Tofautisha migogoro miwili.
Kuna mgogoro wa Loliondo, huo serikali inafukuza wamasai waondoke ktk eneo la kilometa za mraba 1500 ili kumpa mwarabu. Hawa wamasai wa Loliondo hawapewi nyumba Handeni, bali hawa wamepunguziwa ukubwa wa eneo lao ambalo kwa asili ni kilometa za mraba 4000. Sasa wanafukuzwa katika kilometa za mraba 1500 wanasukumiziwa huko kwenye kilometa za mraba zilizobaki yaani 2500.
Eneo la kilometa za mraba 1500 serikali inazichukua na kumpa yule mwarabu wa kampuni ya OBC.
Mgogoro wa pili ni ule ulioko tarafa ya ngorongoro, huko ndo wachache wao wamejengewa nyumba huko Handeni na baadhi yao wanaondoka kwa hiyari
Kwa hiyo ni muhimu kuelewa hii migogoro, wengi wao hawaelewi. Mtiti uko Loliondo huko ndo kuna majeshi yanawaswaga wamasai watoke kwenye kilometa za mraba 1500 waende kwenye kilometa za mraba 2500 tu.
Wamasai wa Tarafa ya Loliondo hawahamishiwi Handeni, bali wale wa Tarafa ya Ngorongoro ndo wanahamishiwa Handeni
Na wewe umelipwa na yule mzungu jirani yake ambaye na yeye pia amevamia eneo lakini mbona uko kimya?Ni hivi , Huko Loliondo ndio kuna mwarabu(OBC) anayetaka ardhi ya wananchi, nguvu na ubabe unatumika kuwaondoa watake wasitake.
Na wewe umelipwa na yule mzungu jirani yake ambaye na yeye pia amevamia eneo lakini mbona uko kimya?
Uongo wako tuu tena hao wanabahat wanahamishwa wanapewa na nyumba wangap wamehamishwa bila hata kulipwaKwa wasioelewa mgogoro huko Ngorongoro na Loliondo.
Ni hivi , Huko Loliondo ndio kuna mwarabu(OBC) anayetaka ardhi ya wananchi, nguvu na ubabe unatumika kuwaondoa watake wasitake.
Eneo la Kilometa za mraba 1500 huko Loliondo ni eneo ambalo yule mwarabu wa OBC analitaka , na ndio figisufigisu zote hizi za kufukuza wananchi ili kumpa huyu mwarabu eneo afanye anavyotaka. Huyu mwarabu ndio Kigwangwallah alipokuwa waziri alisema alitaka kumhonga dola laki moja akakataa
Na kuhusu Ngorongoro, huko ndio wamasai wamejengewa nyumba chache Handeni ili kuwahadaa watanzania kuwa serikali inawajali wamasai kumbe bosheni. Vijumba visivyofika 1000 vingewatoshaje wamasai Laki moja?
Baadhi ya video za wananchi wakiondoka kwenye eneo wanalotaka kumpa mwarabu wa OBC hizi hapa:
View attachment 2273617
View attachment 2273618
View attachment 2273651
Sasa muwakomalie wote siyo mmoja tu.Wote hao wamenunua watawala na kuwatia mfukoni
Huyo mkoloni unayesema aliwaondoa wamasai Serengeti, ndiye aliyewaleta majority yao huko Loliondo na sehemu nyingine za Ngorongoro, kwani hakuona vyanzo vya maji?Kwenye hizo Km 1,500 za Loliondo ndiyo kwenye vyanzo vya maji na ardhi oevu. Hivyo vyanzo ndivyo vinalisha mto Mara ambayo ndiyo passage kubwa ya wanyama wakati wa great migration. Kama Serikali italegea kuchukua hatua dhidi ya uharibifu wa mazingira kwenye eneo hilo basi hata Serengeti ITAKUFA.
Iacheni Serikali ifanye maamuzi leo kwa faida ya baadaye kama vile Mkoloni alivyofanya miaka ya 1950s kwa kuwaondoa Wasukuma, Wamasai, Watatoga na Wamaghati kwenye pori la Serengeti tunayoiona sasa.
Jibu hoja yake. Je mnunuzi ni yule aliyedaiwa na Kigwangala kuwa alitaka kumhonga? Hayo ndiyo unapaswa kujibu na siyo kuja kwa gia ya matusi na kejeli!! Inatia mashaka kukuona unaamua kukwepa hoja ya msingi na kujikita kwenye matusi!!Mleta mada ni mmoja wa wale wana harakati uchwara walioamua kuuza utu wao kwa sababu ya njaa zao. Mara nyingi hujifanyaga ustaz, kumbe mnafiki tu aliekubali kushikiwa akili na wajanja wachache kutoka Kenya kwa faida ya hao hao wakenya.
Vibaraka wa wakenya na watanzania. Binadamu.Haya ni vibaraka wa Wakenya basi!!
Hao wamasai wa Loliondo ni wangapi? Je eneo la kilomita za mraba 2500 zitawatosha?Tofautisha migogoro miwili.
Kuna mgogoro wa Loliondo, huo serikali inafukuza wamasai waondoke ktk eneo la kilometa za mraba 1500 ili kumpa mwarabu. Hawa wamasai wa Loliondo hawapewi nyumba Handeni, bali hawa wamepunguziwa ukubwa wa eneo lao ambalo kwa asili ni kilometa za mraba 4000. Sasa wanafukuzwa katika kilometa za mraba 1500 wanasukumiziwa huko kwenye kilometa za mraba zilizobaki yaani 2500.
Eneo la kilometa za mraba 1500 serikali inazichukua na kumpa yule mwarabu wa kampuni ya OBC.
Mgogoro wa pili ni ule ulioko tarafa ya ngorongoro, huko ndo wachache wao wamejengewa nyumba huko Handeni na baadhi yao wanaondoka kwa hiyari
Kwa hiyo ni muhimu kuelewa hii migogoro, wengi wao hawaelewi. Mtiti uko Loliondo huko ndo kuna majeshi yanawaswaga wamasai watoke kwenye kilometa za mraba 1500 waende kwenye kilometa za mraba 2500 tu.
Wamasai wa Tarafa ya Loliondo hawahamishiwi Handeni, bali wale wa Tarafa ya Ngorongoro ndo wanahamishiwa Handeni
Kama Mkoloni aliwaondoa Serengeti na kuwaleta Loliondo kwa nini unai question Serikali kuwaondoa Ngorongoro na kwenda Serengeti? Au una mawazo ya KITUMWA (Slavery mentality)Huyo mkoloni unayesema aliwaondoa wamasai Serengeti, ndiye aliyewaleta majority yao huko Loliondo na sehemu nyingine za Ngorongoro, kwani hakuona vyanzo vya maji?
Je ni kweli kuwa hizo kilomita za mraba 1500 ndizo anazopewa huyo mwarabu? mbona hilo hulisemei? Je hulisemei kwa bahati mbaya auKwenye hizo Km 1,500 za Loliondo ndiyo kwenye vyanzo vya maji na ardhi oevu. Hivyo vyanzo ndivyo vinalisha mto Mara ambayo ndiyo passage kubwa ya wanyama wakati wa great migration. Kama Serikali italegea kuchukua hatua dhidi ya uharibifu wa mazingira kwenye eneo hilo basi hata Serengeti ITAKUFA.
Iacheni Serikali ifanye maamuzi leo kwa faida ya baadaye kama vile Mkoloni alivyofanya miaka ya 1950s kwa kuwaondoa Wasukuma, Wamasai, Watatoga na Wamaghati kwenye pori la Serengeti tunayoiona sasa.