Video: Wanafunzi wa chuo kikuu Dodoma hawajui nini maana ya neno 'Tarakimu'

ninauhakika waliojibu kwa ufasaha kwenye hiyo video hawajarushwa hewani..lengo ni kukuza onlinetv na nadhani lengo limetimia..udom inawanafunzi wengi sana hao w4 hawawezi kuonyesha mustakabali wa wanafunzi wote.
 
6,600,000
 
Unaenda kwa mzungu kufanya kazi?? Hoja yako ni nini?
Goo
Good morning sir/madam can I clean your car and tend your garden? How much will you pay me? Four hundread thousand T. shillings? Is that ok sir/madam?
 
Ndio maana wale waliomaliza masomo ya shule ya msingi Tz huwa hawajui hata kuandika majina yao. Ukiwauliza wanaitwaje watakuambia eti wanaitwa baba na kamum, wakati ni vijana ambao tayari wameshabalekhe. [emoji38]
😀😀
 
Heheee mademu wametisha kweli. Wanaume wa tz ni vichwa maji. Matusi ndio tu wamejaza kwa kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…