Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Accardemic ni nini ?Eti hatutaki kuongea kiingereza kisa ni lugha ya kikoloni , ni uwongo ila kinatupiga chenga . Tutaendelea kuwa nyuma kwa kasumba hiyo . What is the accardemic language used in East Africa ? We ought to wake up !!
Sent using Jamii Forums mobile app
6,600,000Andika million sita na laki sita kwa tarakimu,Hua kuna watu wanapenda sana kulalia vichwa,
Waliwahi kuulizwa Wanaija hivi...The nationality of the person from Tanzania is a Tanzanians,How about the one's from England,hehehe majibu yake nilicheka sana mtu anajibu Englana[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
GooUnaenda kwa mzungu kufanya kazi?? Hoja yako ni nini?
😀😀Ndio maana wale waliomaliza masomo ya shule ya msingi Tz huwa hawajui hata kuandika majina yao. Ukiwauliza wanaitwaje watakuambia eti wanaitwa baba na kamum, wakati ni vijana ambao tayari wameshabalekhe. [emoji38]
Siku zote Watanzania humu JF hutuambia wao hawataki kuongea Kingereza kisa ni cha wakoloni, kwamba watakomaa na Kiswahili, ila mimi husema ziku zote humu, ni uzembe na uvivu wa kutokutaka kuchosha akili kwenye kujifunza lugha, hamna cha uzalendo wala utumwa wala ukoloni wala nini maana hata Kiswahili wanachojivunia huwa kinawapa matatizo haswa ikija kwenye matumizi rasmi ya kiuandishi na elimu.
Pia ukifuatilia hata uandishi wao humu, utaona matatizo makubwa sana, hamna lugha hata moja wanayoimudu ipasavyo.
Tazama hii video, jamaa amewaibukia wanafunzi wengi chuo kikuu cha Dodoma na kila mmoja ameshindwa nini maana ya neno 'tarakimu', yaani mwanafunzi amesoma chekechea akamaliza, akamaliza shule ya msingi, akapitia shule ya upili hadi kidato cha nne, akaendelea na kumaliza kidato cha sita na hatimaye akajiunga chuo kikuu, lakini neno la msingi kwenye shughuli za elimu linamshinda, halafu huyo ndio utakuta anahitimu shahada ya uhandisi na kuingia kitaa kusaka ajira.