Video: Wanajeshi wa Nepal wapongezwa na Raia kwa kuwalinda dhidi ya Polisi

Video: Wanajeshi wa Nepal wapongezwa na Raia kwa kuwalinda dhidi ya Polisi

Nimeona nyingine wananchi wanarejesha silaha walizozikusanya kutoka kwa polisi na kuwakabidhi wanajeshi. Nyingine askari polisi wakikimbia vurumai wengine wakipewa hifadhi kuepuka kifo.
 
Huku jmbogamboga watawamwaga ubongo uliza zenji kilicho 2000s
 
Back
Top Bottom