Hio nundu imenikumbusha niliwahi anguka kwenye tiles , nilitoka hio nundu hivo hivo,Dah hiyo ni nundu au? jamaa kachapika vibaya ๐คฃ
Kumbe sikio lina mfupa๐คฃHio nundu imenikumbusha niliwahi anguka kwenye tiles , nilitoka hio nundu hivo hivo,
Mpaka mfupa wa sikio ume increase๐
๐๐ ni ule mastoid mkuuKumbe sikio lina mfupa๐คฃ
Wameutekenya sio๐๐๐ ni ule mastoid mkuu
Duh acha kbsaa upande wa kushoto na kulia kuna utofauti, upande wa kulia ume increase๐,Wameutekenya sio๐
Mtumishi hivi unapendelea kuondoka na treni ya kwanza ( unyakuo)Wameutekenya sio๐
Wewe kwanini udeki kwa watu sasa? Pia sabuni ya unga kudekia inahitaji umakini sana! Loh pole sana mkuu!๐Duh acha kbsaa upande wa kushoto na kulia kuna utofauti, upande wa kulia ume increase๐,
Siku hio nilijifanya nadeki kwa watu kuwa nawasaidia, nika mix sabun ya unga, pale kwenye tiles , bahat nikakanyaga mopa, kilichonikuta weee
Unyakuo utanifaa aisee๐Mtumishi hivi unapendelea kuondoka na treni ya kwanza ( unyakuo)
Ya pili ( mkatwe vichwa)
Ndio uende kwa BABA. ๐๐