Video: Wananchi Salasala wamshambulia baunsa aliyetumwa kubomoa nyumba

Video: Wananchi Salasala wamshambulia baunsa aliyetumwa kubomoa nyumba

Bw. MWAMWINDI alihamia eneo la Mkungugu, Isimani mwaka 1954 akitokea Iringa mjini alikokuwa dreva. Alianza kilimo kidogo kidogo hatimaye akawa na mashamba makubwa ya mahindi ya hekari takriban 160. Akawa analima mashamba yake kwa trekta katika eneo hilo ambalo awali lilikuwa ni pori. Kipindi hicho, hakukuwa na sehemu Tanzania iliyokuwa ikizalisha mahindi mengi kama Isimani
Kuna Mjukuu Wake Ni Jamaa Yangu Sana
Anasema Babu Alinyongwa Isanga Pale
 
Huyu fala nilimuona pia kwenye ishu ya yule mama alieweka nyumba dhamana kwa ajili ya mkopo wa shoga yake aliekimbia mji na deni, wakawa wanamtolea vitu nje aachie nyumba. Sema mjinga ana maneno ya shombo sana Bora wamemgonga kidogo, Wangemvunja mguu mmoja ingependeza zaid.
 
Baunsa anayejulikana kwa jina la Mwaisa, amenusurika kuuawa wakati akiwa katika shughuli ya kubomoa nyumba aliyotumwa na tajiri yake. Ni tukio la juzi Jumatano 10/ 06/ 26.

Hongera sana watu wa Salasala, tabia hii ya mabaunsa kutumika vibaya lazima ikomeshswe

Chanzo: ITV
Watu wa SALASALA mliopo humu hebu piga kelele tuwatambue. Metukomeshea hawa mafedhuli

Kwa jinsi mlivyojiamulia napemdekeza kila mmoja anywe kinywaji anachopenda kwenye duka la Mangi na nyama choma. Malipo tutajadili baada ya kunywa.
 
Back
Top Bottom