Video: Wanaume Wafupi na Weupe Tuliwakoseaga nini Wanawake Lakini?

Video: Wanaume Wafupi na Weupe Tuliwakoseaga nini Wanawake Lakini?

Hayo ni matamanio tu kama wanaume wengi walivyo obsessed na wanawake wazuri wa sura na wenye msambwanda lakini ukiingia kwenye ndoa kufanya sensa utashangaa kukuta flat screens na sura za kawaida.

Kwa hiyo usihofu, mwisho wa siku kila mtu ataoa na kuolewa kwa wakati wake. Ila ukijaribu kujua matamanio hata ya patner wako. Si ajabu ni upendo tu na ndo fungu alilopewa lakini ukawa si mwanaume wa ndoto zake
 
Kuna jirani yangu kaolewa na jamaa ni mfupi balaa ila ana pesa, akiwa hayupo demu huwa namsikia akiwa na wenzie. Hivi yule andunje asingekuwa na pesa mimi ningempeleka wapi? Jamaa ni mfupi alafu demu ni mtefu wakitembea pamoja utacheka 😁
 
Mbona hamcheki mwanamke akiwa andunje na mwanaume mrefu?
 
Back
Top Bottom