Video: Wanaume Wafupi na Weupe Tuliwakoseaga nini Wanawake Lakini?

Video: Wanaume Wafupi na Weupe Tuliwakoseaga nini Wanawake Lakini?

Mimi ni kijeba mfupi kama gunia la karoti lakini nimesha tembeza mkuyenge kwa warembo zaidi ya 250
Wanawake wengi kuwa na wewe haikuondolei ufupi wako. Utabaki kuwa mfupi tu brother

Ni sawa na mtu anaetumia pesa kunasa warembo ili ajisifie kuwa pamoja na madhaifu yake kama muonekano au elimu haba Ila bado ananasa warembo.

Ukweli ni kuwa madhaifu huwa hayaondoki zaidi ya watu kujifariji kwenye insecurities zao.

Cha kushukuru Mungu aliumba upendo ambao unaona Ila haujali. Kwa hiyo utachukiwa kwa hili, utapendwa kwa lingine maana binadamu wote ni package ya tabia, haiba, umiliki na muonekano. Kwa hiyo hakuna atakaeachwa kupendwa mkuu
 
Hayo ni matamanio tu kama wanaume wengi walivyo obsessed na wanawake wazuri wa sura na wenye msambwanda lakini ukiingia kwenye ndoa kufanya sensa utashangaa kukuta flat screens na sura za kawaida.

Kwa hiyo usihofu, mwisho wa siku kila mtu ataoa na kuolewa kwa wakati wake. Ila ukijaribu kujua matamanio hata ya patner wako. Si ajabu ni upendo tu na ndo fungu alilopewa lakini ukawa si mwanaume wa ndoto zake
Living life a fantasy 🤣
 
Kuna jirani yangu kaolewa na jamaa ni mfupi balaa ila ana pesa, akiwa hayupo demu huwa namsikia akiwa na wenzie. Hivi yule andunje asingekuwa na pesa mimi ningempeleka wapi? Jamaa ni mfupi alafu demu ni mtefu wakitembea pamoja utacheka 😁
Kama tupo "Congomanii" kama tupo Congo manigaaah 😁😁😁
 
Wala usipate tabu na maneno aina hiyo, Kuna kitu kinaitwa "MUDA" ni mwalimu mzuri sana, baada ya miaka kadhaa atataka yeyote yule ilimradi awe anapumua. Mwanaume ana values na standard zake.
 
Tatizo lenu maandunje mna gubu sana na wambea wambea mno,hata me mwenyewe siwezi kupiga dili yoyote ya maana na mwanaume mfupi asee.
 
Tatizo lenu maandunje mna gubu sana na wambea wambea mno,hata me mwenyewe siwezi kupiga dili yoyote ya maana na mwanaume mfupi asee.
Kenge maji wewe, mimi mrefu lakini siwezi zungumza hivi kwa kipi ulichonacho hadi ubague wafupi et kwenye madeal!!!?,Ukute hata boss wako ni mfupi lkn huo urefu umekutoa akili na kujiona ndo kila kitu
 
Kuna jirani yangu kaolewa na jamaa ni mfupi balaa ila ana pesa, akiwa hayupo demu huwa namsikia akiwa na wenzie. Hivi yule andunje asingekuwa na pesa mimi ningempeleka wapi? Jamaa ni mfupi alafu demu ni mtefu wakitembea pamoja utacheka 😁
Iko hivyo, mwanaume akiwa mfupi, anajua kabisa kitakachomuokoa ni hela, hivyo anajitahidi kuwa nazo.

Mwisho wa siku ndiyo wanaomiliki au kuwaoa hao wanawake, kwa sababu kiuhalisia ukiwa huna fedha hata uwe mrefu mweusi huwezi kuoa au kumiliki mwanamke.
 
Back
Top Bottom