Ila ndio umeng'ang'ania hapo hapo kama mjusi darini..Yuko sawa
Mwanaume msaliti wa nini sasa
LikewiseYuko sawa
Mwanaume msaliti wa nini sasa
YeahLikewise
Uko sahihi japo watu wanaangalia upande mmoja tu (ubinafsi)Yeah
Usaliti sio poa kwa jinsia yoyote
Huyu cherry ndo nani ila kuwapa hawa vijana wadogo airtime za kijinga kwenye mitandao kunahatari sana.Mwanadada Mentor Cherry, amewahasa wanawake wenzake kutovumilia usaliti kwenye ndoa kwa kigezo cha kwamba Mwanaume hatosheki.
"Kumekuwa na maneno ya kuwa Mwanaume hatosheki na Mwanamke mmoja n.k ila ukweli ni kwamba hata Mwanamke pia hatosheki na Mwanaume mmoja isipokuwa ni anaheshimu mahusiano"- Cherry
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2899859
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Hapo usaliti ni gia tu. Kinachokuwa imparted kichwa mwa wanawake wengi ni kwamba wasivumilie misukosuko ya ndoa. Wavunje ndoa bila kujali madhara yakeHuyu cherry ndo nani ila kuwapa hawa vijana wadogo airtime za kijinga kwenye mitandao kunahatari sana.
Pengine hajui sababu ya misemo mingi ni kulinda familia unapochochoa wanandoa kuachana athari kubwa ni kwa watoto na wanawake.
Ingependeza km angepewa airtime km angekuwa anatoa solutions ya kukabiliana na changamoto za ndoa bila kuathiri familia.
Mwisho mwambieni nazi haishindani na jiwe hata siku moja itavunjika!
Hii ndio hoja ya Bi Cherry na kaitoa saloon kwa desperate singelsHapo usaliti ni gia tu. Kinachokuwa imparted kichwa mwa wanawake wengi ni kwamba wasivumilie misukosuko ya ndoa. Wavunje ndoa bila kujali madhara yake
Hongera yake aisee.Mwanadada Mentor Cherry, amewahasa wanawake wenzake kutovumilia usaliti kwenye ndoa kwa kigezo cha kwamba Mwanaume hatosheki.
"Kumekuwa na maneno ya kuwa Mwanaume hatosheki na Mwanamke mmoja n.k ila ukweli ni kwamba hata Mwanamke pia hatosheki na Mwanaume mmoja isipokuwa ni anaheshimu mahusiano"- Cherry
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2899859
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️