VIDEO: Wasaliti waanza kulia na kusaga meno. Hakuna kumhurumia yeyote, hakutakuwa na Mswalie Mtume

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .

Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
 
Lwakatare amestaafu siasa!
 
Erythocyte sasa hii mwisho wake ni upi?
 
Vijana chapeni kazi, msiogope
IMG_20200511_213146.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom