Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Lwakatare amestaafu siasa!Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .
Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
Erythocyte sasa hii mwisho wake ni upi?Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .
Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
Heshima waliyojijengea kwa miaka yote kuiyeyusha kwa siku mbili ni jambo la aibu litakalowadhalilisha maisha yote .Erythocyte sasa hii mwisho wake ni upi?
Aibu aliyiwabebesha Wahaya si ya kubeza , amestaafu kihovyo mno !Lwakatare amestaafu siasa!
Na kweli CDM ilimpigania sana na kumjengea jina!Heshima waliyojijengea kwa miaka yote kuiyeyusha kwa siku mbili ni jambo la aibu litakalowadhalilisha maisha yote .
Fadhila za chadema kwa Lwakatare si za yeye kuja kufanya hivi , hii ni aibu kwake na familia yake
Hakuna unalo jua wewe kichwa majiLwakatare Ndio alitatambulisha Chadema Bukoba kabla ya hapo Chadema ilikuwa marangu tu
Daaah nimejikuta nacheka sana
Sasa analia nini ?Lwakatare Ndio alitatambulisha Chadema Bukoba kabla ya hapo Chadema ilikuwa marangu tu
Unajua siwezi kujadili watu kama Silinde , Komu au Selasini , lakini Lwakatare nimemhurumia sana , kujidhalilisha kwa namna hii ni aibu kwakeNa kweli CDM ilimpigania sana na kumjengea jina!
Uliza wanaomjuaLwakatare Ndio alitatambulisha Chadema Bukoba kabla ya hapo Chadema ilikuwa marangu tu