Video: Watanzania na mahaba niue ya siasa. Tafadhali tuzingatie usalama kwanza

Kulikuwa na haja ya mabomu pale nikujiingiza katika mayatizo ya baadaye elewa dunia ni kijiji kwa tekinoloji
 
Wanafanya ni sawa, ila wazingatie usalama wao angalau kwa kuvaa vifaa vya kujilinda iwapo kutatokea madhala.
Kampeni zifanyike pasipo kuvunja taratibu za kiusalama majini na barabarani.
Vyombo vinavyohusika chukueni hatua mapema kwani wanaweza kujitokeza watu wakatumia mwanya huo kuangamiza watu/ajali ikatokea bila ya kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…