VIDEO: Watanzania tufanye yote lakini tusifike hatua ya kupuuza familia na kuishi maisha ya kipweke kama haya yanayotokea Japan

VIDEO: Watanzania tufanye yote lakini tusifike hatua ya kupuuza familia na kuishi maisha ya kipweke kama haya yanayotokea Japan

Incredibly sad, lakini pia ndio tuanelekea huko, hasa familia zenye uweezo wa kati, kila mtu anajifungia kwake ndani ya geti hataki mazoea.
 
Wa Japan hua hawawazi mapenzi/ngono ni wachache sana hufanya hayo ndiyo maana idadi kubwa yao wanaishi maisha ya mwenyewe mwenyewe...

Hua wanawaza kutafuta na kuijenga nchi yao masasa 24...
 
Incredibly sad, lakini pia ndio tuanelekea huko, hasa familia zenye uweezo wa kati, kila mtu anajifungia kwake ndani ya geti hataki mazoea.
Umaskini pia unachangia anaona wengi maskini yeye ndie katoka hataki mazoea sababu kila mtu anataka msaada anaona atarudi maisha ya chini
 
Naona japan itakuwa eneo zuri la kuishi naombeni ABC zake za taifa ilo napo niende
 
Wa Japan hua hawawazi mapenzi/ngono ni wachache sana hufanya hayo ndiyo maana idadi kubwa yao wanaishi maisha ya mwenyewe mwenyewe...

Hua wanawaza kutafuta na kuijenga nchi yao masasa 24...
Ngoja leo niwe wewe.

Asante kwa mwongozo.
 
Wao wako busy hawana vijiwe vya kahawa,wala kusukana mitaani
 
Maendeleo yao yamekuja kwa gharama ya ku-desocialialize, hawana muda wa kupeana ujauzito wala kulea familia
 
Man, unalinganisha vitu visivyolingana, sisi bado tunapambana hata na mlo tu kwa siku achilia mbali maji masafi ya kunywa au umeme.

Hao hawakufikia hapo kwa kupenda, hiyo ni jamii inayofwata fairness na siyo ujinga wa akina Mwigulu na Nape, kila mtu Japan anaweza kuwa na maisha yake na kazi yake hahitaji msaada wa ndugu, wewe unasema hivyo Tanzania kwa sababu unaishi na kulea watoto wa mjomba, shangazi, kaka au sijui housegirl aliyekuachia na kukimbia ndiyo maana kila siku una watu nyumbani wa kutuma hapa na pale na iko hivyo kwa sababu Tanzania ni jamii ya dhulma, raisi mstaafu ana majumba yake tayari bado anajengewa nyumba na serikali, ukihoji unajibiwa kwa kejeli acha wivu.

Hapo walipofikia Wajapani ni maendeleo na watatafuta suluhisho lkn bado huwezi waambia waje kuishi maisha ya dhuluma na kunyonyana kama Tanzania, Makamba anakata umeme masaa 16 kwa siku bila ya consequence yoyote ile kama Waziri mwenye dhamana, watu hawawezi kufanya kazi kujiingizia kipato lkn yeye anacheka tu na kuwakebehi hao Wajapani walipambana wakatoka huko, sasa maendeleo na fairness kuna gharama yake …
 
Back
Top Bottom