Video: Watanzania wampongeza rais wao kwa kusoma hotuba ya kingereza

Video: Watanzania wampongeza rais wao kwa kusoma hotuba ya kingereza

Yatawashinda majirani ya mzungu kumuita babu yako ‘boy’. Sisi huku kusini wote ni ndugu hatuna ma boy.
 
Wanavopenda sifa muda sio mrefu utasikia eti Jiwe kashinda tuzo la kuongea kiingereza kwa ufasaha. Alafu tuzo lenyewe atakabidhiwa na yule rais wa Yemen yule, Ghadaffi! 😀
Tuachieni mzee wetu wa ze catalyst. Mbona hatusemi Uhuru akisema ‘munakuja’
 
Kama unaweza panda vyeo vya serikali kutoka mbunge, kwenda waziri hadi Rais bila kujua kiingereza cha kudondolea puani basi hamna advantage yeyote ya lugha ya mkoloni. Maisha ya John pombe Magufuli mtoto wa maskini yana ashiria haya kwa uwazi kabisa.
Tatizo watu wamekariri kujua kiingereza na mafanikio.
 
Sio hapo tu, cheki hii phrase yote

"........ inferiority in the(m) , they (......) confident and..... "


Hizo ni typos and I have no time to do proofreading here, for what? Pick it as it pleases you I don't care 😊
Wewe endelea tu kujitekenya, mie simo!
 
Wakenya bado mna akili/mawazo ya kitumwa

Ova
 
Back
Top Bottom