πππ Ukiona hivyo ujue imekupenyaumeandika kiunyonge sana sijui nani kakukosea
Tuachieni mzee wetu wa ze catalyst. Mbona hatusemi Uhuru akisema βmunakujaβWanavopenda sifa muda sio mrefu utasikia eti Jiwe kashinda tuzo la kuongea kiingereza kwa ufasaha. Alafu tuzo lenyewe atakabidhiwa na yule rais wa Yemen yule, Ghadaffi! π
Tatizo watu wamekariri kujua kiingereza na mafanikio.Kama unaweza panda vyeo vya serikali kutoka mbunge, kwenda waziri hadi Rais bila kujua kiingereza cha kudondolea puani basi hamna advantage yeyote ya lugha ya mkoloni. Maisha ya John pombe Magufuli mtoto wa maskini yana ashiria haya kwa uwazi kabisa.
Wanyonge nyinyi mnaoshobokea english linguaumeandika kiunyonge sana sijui nani kakukosea
Wewe endelea tu kujitekenya, mie simo!Sio hapo tu, cheki hii phrase yote
"........ inferiority in the(m) , they (......) confident and..... "
Hizo ni typos and I have no time to do proofreading here, for what? Pick it as it pleases you I don't care π