Video: Wazee wa Africa kusini walishamuonya Malema na EFF hawatafika mbali na mapinduzi yao uchwara.

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi

Ngebe, Nyodo, majigambo, madharau, hulka, mihemko, husda, kujiona na kiburi cha Julius Malema kinafika ukingoni. Baada ya matokeo ya awali ya uchaguzi Africa kusini kuonesha chama chake EFF kinafanya vibaya sana.

Malema ambaye alikuwa "UVCCM" ya ANC alifukuzwa kwenye chama kwa utovu wa nidhamu na kuanzisha Chama cha EFF Economic Freedom Fighters.

Baada ya kuanzisha EFF akaanza kuishambulia ANC na wazee wake na hadi kwenda mbali na kumtukana Nelson Mandela. Jazba zote hizo nikufukuzwa uanachama ANC kwa utovu wa nidhamu.

Mjukuu wa Mandela Mandla Mandela hakufurahishwa na kauli za jazba, matusi na kejeli dhidi ya babu yake. Akamjibu Malema amelaaniwa. Malema akamdhalilisha jamaa ni haknithi haipandishi kitendo hichi kiliwaudhi sana watu wengi. Mandla Mandela akaamua kunyamaza kumya.

Miaka tisa iliyopita bungeni mwanasiasa machachari msomi na anti apartheid activist ambaye sasa hivi ni waziri wa elimu, science na technology Bonginkosi Emmanuel Nzimande "Blade" aliwaonya kwa upole, uungwana na msisitizo Malema na EFF hawatafika mbali na mapinduzi yao uchwara kwasababu bado wachaga sana kwenye siasa na mambo mengi hawajui kabisa south Africa ilipotoka na hawa wazee wanawatukana walivyojitolea nafsi zao.

Matokeo yake kina Malema wakawa wanamtukana, kumkejeli na kurusha mikono juu kutaka akae chini. Video hiyo hapo chini.

View: https://www.youtube.com/watch?v=2hgD7NYX5Gw&t=18s&pp=ygUfQmxhZGUgd2FybmluZyBlZWYgc291dGggQWZyaWNhIA%3D%3D#bottom-sheet

Maghayo is a well known and accredited JF Geopolitics expert and analyst.

Stanford University Alumni
 
Mandla Mandela mjukuu wa Nelson Mandela namkubali sana ila niliumia sana alipoamua kuacha nuru na kubadilisha dini na kuslim mnakuwa Kobaaz kisa demu.
 
Alikosea sana kwenye open border policy yake. Eff wana siasa za kuigawa south Africa kuliko kuwaunganisha.
 
Mzuka wanajamvi

Ngebe, Nyodo, majigambo, madharau, hulka, mihemko, husda, kujiona na kiburi cha Julius Malema kinafika ukingoni. Baada ya matokeo ya awali ya uchaguzi Africa kusini kuonesha chama chake EFF kinafanya vibaya sana.

Malema ambaye alikuwa "UVCCM" ya ANC alifukuzwa kwenye chama kwa utovu wa nidhamu na kuanzisha Chama cha EFF Economic Freedom Fighters.

Baada ya kuanzisha EFF akaanza kuishambulia ANC na wazee wake na hadi kwenda mbali na kumtukana Nelson Mandela. Jazba zote hizo nikufukuzwa uanachama ANC kwa utovu wa nidhamu.

Mjukuu wa Mandela Mandla Mandela hakufurahishwa na kauli za jazba, matusi na kejeli dhidi ya babu yake. Akamjibu Malema amelaaniwa. Malema akamdhalilisha jamaa ni haknithi haipandishi kitendo hichi kiliwaudhi sana watu wengi. Mandla Mandela akaamua kunyamaza kumya.

Miaka tisa iliyopita bungeni mwanasiasa machachari msomi na anti apartheid activist ambaye sasa hivi ni waziri wa elimu, science na technology Bonginkosi Emmanuel Nzimande "Blade" aliwaonya kwa upole, uungwana na msisitizo Malema na EFF hawatafika mbali na mapinduzi yao uchwara kwasababu bado wachaga sana kwenye siasa na mambo mengi hawajui kabisa south Africa ilipotoka na hawa wazee wanawatukana walivyojitolea nafsi zao.

Matokeo yake kina Malema wakawa wanamtukana, kumkejeli na kurusha mikono juu kutaka akae chini. Video hiyo hapo chini.

View: https://www.youtube.com/watch?v=2hgD7NYX5Gw&t=18s&pp=ygUfQmxhZGUgd2FybmluZyBlZWYgc291dGggQWZyaWNhIA%3D%3D#bottom-sheet

Maghayo is a well known and accredited JF Geopolitics expert and analyst.

Stanford University Alumni

Wewe ni Alumni wa Stanford University?

Nimekuvulia kofia! Shikamoo Maghayo!
 
Hahaha. Noted mkuu!
Ukipata nafasi utuandalie uzi unaohusu uanzishwaji wa Stanford University!

Inasemekana ilianzishwa na tajiri mmoja baada ya kufiwa na mtoto wake wa pekee!

Alisema watoto wa huo mji watakuwa ndiyo watoto wake, akaamua kuwajengea Chuo.
 
Maghayo is a well known and accredited JF Geopolitics expert and analyst.

Stanford University Alumni.We mzee kwa matambo🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom