Video: Waziri akipambana na nzige kwa miguu

Kiongozi anacheza muziki wa Reggae na nzige!Anapiga na picha anacheka?Awamu hii viongozi tunao
 
Mh Magufuli huyu Waziri hakufai. Alitakuwa walau kuonesha tu hisia kwamba Taifa linakabiliwa na hatari ya njaa na kusema tu nini serikali inakwenda kufanya kukabiliana na nzige. Badala yake yeye anacheza muziki na nzige huku anacheka, nzige ni hatari wasipodhibitiwa. Imagine ndani hili janga la corona then binadamu na mifugo waingie kwenye njaa itakuaje!Halafu yeye anatumia mafuta ya gari kwa kodi zetu tulizolipa kwa ngama kwenda kufanya mazoezi binafsi ya mwili na nzige huku anacheka cheka!Magu timua huyu ikiwezekana asifike jumatatu akiwa Waziri
 
Hakika jamaa wanachapa kazi kwelikweli tena kizalendo kwa style hii ya kukanyagia mateke ukijumlisha na zile ndege zetu za kutosha zinazonyunyuzia dawa tukichanganya na yale maombi yaliyokimbiza corona basi hawa nzige week tu wanahama nchi hii au kama wataamua kukaa basi wakae kwa adabu kama panzi na senene wanavyokaa kwa staha
View attachment 1712656
ACHENI UNAFIKI HAPO WAZIRI ALIKUWA ANATATHIMINI WINGI NA ATHARI ZA WADUDU HAWA NA SI KWAMBA ALIKUWA ANAPAMBANA NA NZIGE KWA NJIA HII
 
Tanzania ya viwanda baba 😂😂😂
 
Perspective!

This man has a big head.
Actually he lives his life at fullest.
He doesn't care what cowards might say...!

He is turning around the sector.

Economist ever Bold.

What is wrong with crushing the locust by feet?

Funny out of work-reduces tire and stress!

If they were a thousand, they are already less.

By the way, He has won the battle already!

Remember that once up on a time, mosquitoes were killed by clapping hands...!

Perspective!
 
ACHENI UNAFIKI HAPO WAZIRI ALIKUWA ANATATHIMINI WINGI NA ATHARI ZA WADUDU HAWA NA SI KWAMBA ALIKUWA ANAPAMBANA NA NZIGE KWA NJIA HII
Yani na akili zako MBOVU unaona hapo anafanya locust volume analysis? Mjinga mkubwa ww. Locust swarm inafahamika ni millions of locusts. Sasa kucheka na kukimbia eti ndio utajua wako milioni 50.115. Kwenda zako. Hawa wazembe hawachukulii hili suala serious. Wakati nchi jirani wanapambana kwelikweli. Inasikitisha kuwa na waTz kama ww.
 
Hakika jamaa wanachapa kazi kwelikweli tena kizalendo kwa style hii ya kukanyagia mateke ukijumlisha na zile ndege zetu za kutosha zinazonyunyuzia dawa tukichanganya na yale maombi yaliyokimbiza corona basi hawa nzige week tu wanahama nchi hii au kama wataamua kukaa basi wakae kwa adabu kama panzi na senene wanavyokaa kwa staha
View attachment 1712656
Apo wanekosa tu ngoma ya dula makabila wangecheza kabisa😆
 
Nimewaza tu! Kama vile mie waziri mmojawapo wa Jiwe, Tukipeleka kuku wengi au tukikamata hao nzige tukageuza chakula Cha kuku hivi itakuaje!?
 
Yani na akili zako MBOVU unaona hapo anafanya locust volume analysis? Mjinga mkubwa ww. Locust swarm inafahamika ni millions of locusts. Sasa kucheka na kukimbia eti ndio utajua wako milioni 50.115. Kwenda zako. Hawa wazembe hawachukulii hili suala serious. Wakati nchi jirani wanapambana kwelikweli. Inasikitisha kuwa na waTz kama ww.
by seeing live you can image which effort needed PIMBI wewe
 
Hakika jamaa wanachapa kazi kwelikweli tena kizalendo kwa style hii ya kukanyagia mateke ukijumlisha na zile ndege zetu za kutosha zinazonyunyuzia dawa tukichanganya na yale maombi yaliyokimbiza corona basi hawa nzige week tu wanahama nchi hii au kama wataamua kukaa basi wakae kwa adabu kama panzi na senene wanavyokaa kwa staha
View attachment 1712656
tunatekelezaaaa🤣🤣🤣🤣
 
Hivi zile washawasha zikijazwa dawa haziwezi kusaidia kwenye janga hili?
 
Back
Top Bottom